Nyamwi255
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 4,848
- 12,776
Kila uchwao nimekuwa mtu wa kuwaza Kuhusu siku ya harusi yangu. ( Walio olewa watakuwa wananielewa)
yani Kuna Hali Fulani hivi unakuwa nayo, furaha iliyochanganyikana na hofu.
Mfano Mimi nawaza nitawaangaliaje watu siku ya send-off, na harusi na siku ya chai Nawaza nivae nguo gani yani nitokelezee vipi siku hizo. Yani Hadi nimeanza kupungua kwa kuwaza hayo yote na hii ni kutokana na kukosa hamu ya kula.
Waungwana., naomba mnishauri KUELEKEA siku hiyo mambo ya kuzingatia na mambo ya kuepukana nayo katika nyanja mbalimbali na nitayafanyia kazi pale inapobidi.
Asante.