Nishaurini kuelekea Julai 13 siku ya harusi yangu

Nishaurini kuelekea Julai 13 siku ya harusi yangu

🤣🤣 ww ndo huelewi mahi wangu!
Sasa si utupe kadi kipenzi, tupo na wewe bega kwa bega since the day you met handsome, tall and dark.

Naomba kadi dia wangu nije kula ubwabwa nna hamu nao.
 
Ukweli ni kwamba kinachokuvutia ni sherehe tu + heka heka za siku hiyo za kuwaaminisha mashosti kuwa ndo naolewa hivyo,
mwisho: tunamwombea mwanetu ili akili zake za kawaida zirejeee kwa kusogeza mbele hii sherehe au kuishia mitini kabisa😂
🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆
 
Kule kwingine ulisema ndoa tamu, unajifungia ndani unapata dudu kutoka kwa mwanaume mtamu, huku unawaza harusi......ehuuu wanajf tunavurugwa sana jamani ndo maana kuna muda tunakuaga kama tumechanganyikiwa na kuna muda tunaongea peke etu.

Mbaga Jr ushaandaa suti ya kwendea harusini au utaenda na kanzu??
Huo Uzi uko wapi ambao nilisema ndoa tamu?? Au ww ndo huelewi??
Nwei pole sana kwa kuongea peke ako😁
mungu akufanyie wepes uweze kunichangia chochote KUELEKEA siku ya ndoa yangu
Kama alivoniahidi Manyanza
 
Yaani wewe unafikiria uvae nin au utasimama vipi mbele ya watu. Hivi ni vitu vidogo saana. Kwanza mweke mchumba wako karibu sana maana anaweza asijitokezd siku ya sendoff au hata ya harusi. Hiyo kutoka vipi sio ya maana kwa kuwa wenzio wameolewa na gauni za kawaida bila sendoff, bila gauni za harusi na maisha yanaendelea. Nilikuwa nadhanj ni dume maana hii hofu inaweza kufanya kupungua nguvu za ........ . Hii ni hofu zaidi kwako. Sio harusi wala sendoff.
Sawa
 
Kule kwingine ulisema ndoa tamu, unajifungia ndani unapata dudu kutoka kwa mwanaume mtamu, huku unawaza harusi......ehuuu wanajf tunavurugwa sana jamani ndo maana kuna muda tunakuaga kama tumechanganyikiwa na kuna muda tunaongea peke etu.

Mbaga Jr ushaandaa suti ya kwendea harusini au utaenda na kanzu??
Ila huyu anakoelekea baada ya harusi atakuja kuomba ushauri jnc ya kulala na mwanaume wake tall mweusi.

Mm kwenye harusi yake ntakuja kitofaut sana, ntakuja nimevaa taulo na t-shirt
 
Back
Top Bottom