HahaUkweli ni kwamba kinachokuvutia ni sherehe tu + heka heka za siku hiyo za kuwaaminisha mashosti kuwa ndo naolewa hivyo,
mwisho: tunamwombea mwanetu ili akili zake za kawaida zirejeee kwa kusogeza mbele hii sherehe au kuishia mitini kabisa😂
Ushajifunza kulala bila kyupi?Kila uchwao nimekuwa mtu wa kuwaza Kuhusu siku ya harusi yangu. ( Walio olewa watakuwa wananielewa)
yani Kuna Hali Fulani hivi unakuwa nayo, furaha iliyochanganyikana na hofu.
Mfano Mimi nawaza ntawaangaliaje watu siku ya send-off, na harusi na siku ya chai
Nawaza nivae nguo gani yani nitokelezee vipi siku hizo.
yani Hadi nimeanza kupungua kwa kuwaza hayo yote na hii ni kutokana na kukosa hamu ya kula.
Waungwana., naomba mnishauri KUELEKEA siku hiyo mambo ya kuzingatia na mambo ya kuepukana nayo katika nyanja mbalimbali na ntayafanyika kazi pale inapobidi.
Asante.
Your too naive.. Kama Mimi hata Mambo ya kucheza mziki sikua nayajua MTU ambae hata kuchekacheka nadra nadra kunikuta niliweza wewe utashindwaje 😊😊😊Kila uchwao nimekuwa mtu wa kuwaza Kuhusu siku ya harusi yangu. ( Walio olewa watakuwa wananielewa)
yani Kuna Hali Fulani hivi unakuwa nayo, furaha iliyochanganyikana na hofu.
Mfano Mimi nawaza ntawaangaliaje watu siku ya send-off, na harusi na siku ya chai
Nawaza nivae nguo gani yani nitokelezee vipi siku hizo.
yani Hadi nimeanza kupungua kwa kuwaza hayo yote na hii ni kutokana na kukosa hamu ya kula.
Waungwana., naomba mnishauri KUELEKEA siku hiyo mambo ya kuzingatia na mambo ya kuepukana nayo katika nyanja mbalimbali na ntayafanyika kazi pale inapobidi.
Asante.
Dada anaolewa, mahari ishaliwa apewe baraka zoteeeUkiolewa niite umbwa
Mbona umeedit hapo kwa koment yangu, utapigwa kitu kizito wewe mwaliSawa😁.
NJOO kwanza nikudinye huku nakupa ushauri au unasema?Waungwana., naomba mnishauri KUELEKEA siku hiyo mambo ya kuzingatia na mambo ya kuepukana nayo katika nyanja mbalimbali na ntayafanyika kazi pale inapobidi.
2 na Ile 1 ya honeymoon ikae Bench kwanza au sio?Usisahau kugusa flying fish 2 za baridi.