Viatu vya kiume vya mtumba ni biashara yenye faida kubwa SanaWazima ndugu zangu?nataka nianze biashara ya viatu vya mtumba ila classic
Sitaki nianze na vingi nooh nataka nianze na pcs 30 kwanza
Location nitatafuta eneo lenye hekaheka na shughuli nyingi
Nishaurini ninini cha kuzingatia?
Hii biashara imekaaje?
Jee inalipa?
Ununuzi jee
Changamoto?
Sent using Jamii Forums mobile app