Nishaurini kuhusu ECA(Economics,Commerce,account ancy)

Nishaurini kuhusu ECA(Economics,Commerce,account ancy)

mimi nakushauri usome EGM. mimi ni mwalimu wa masomo ya biashara kinachowashinda wengi kwenye CPA uko mbel ni msingi mbovu wa mathematics. soma EGM achana na ECA then uende BCOMM Mlimani utakuja kunikumbuka.

Labda tu utupe mfano wa application za hesabu na CPA ndugu kama huna msingi mzuri wa Accounts hata ukisoma MMM (Mathematics,mathematics na maths) kama ingekuwepo hiyo comb kama hujui accounts cpa utaisikia tu kule ni kuelewa tu logic na mitego ya swali. Financial Repoting, International business, Taxation, - Module E ...MA,Auditing Module F hazina uhusiano wowote na Hiyo EGM hasa ukiangalia wanaotusua CPA wengi ni ECA hakuna jipya kule ukisoma ECA na Accountancy Chuo kufeli CPA ni uzembe wako walasio hesabu watu wamesoma HKL wakatusua CPA sembuse ECA anayesoma angalau BAM.
 
Wewe kama una nia thabiti yakuwa Auditor au Mhasibu soma ECA ila kama hujui unataka nini maishani mwako soma hizo nyingine ili uchague unachokitaka chuo. Kama hauna mawazo ya kubadili degree huko chuo soma ECA ili uwe na msingi mzuri maana chuo vyuo vingine hawaingii deep tofauti na mnavyosoma alevel.

Ila kama hujui utasoma nn chuo soma Hizo nyingine.Maana ECA haina uwanja mpana kwa cozi mbalimbali za chuo.

Uzuri wa ECA hata ukisoma chuo Sociogy au PSPA ukaona hazikulipi ukataka ukachukue CPA unapata exemption ya kuanza module B kuna classmate wangu alifanya hivyo.
 
Komaa nayo mdogo wangu...inalipa sana2. Kwa sasa hv dunia inaendeshwa kiuchumi na kisayansi na kwa mbaaali kuna politics. Don gv up dat is the best choice
 
Labda tu utupe mfano wa application za hesabu na CPA ndugu kama huna msingi mzuri wa Accounts hata ukisoma MMM (Mathematics,mathematics na maths) kama ingekuwepo hiyo comb kama hujui accounts cpa utaisikia tu kule ni kuelewa tu logic na mitego ya swali. Financial Repoting, International business, Taxation, - Module E ...MA,Auditing Module F hazina uhusiano wowote na Hiyo EGM hasa ukiangalia wanaotusua CPA wengi ni ECA hakuna jipya kule ukisoma ECA na Accountancy Chuo kufeli CPA ni uzembe wako walasio hesabu watu wamesoma HKL wakatusua CPA sembuse ECA anayesoma angalau BAM.
nikweli mkuu umenena.CPA hakuna mahesabu yeyote magumu.mtiti accounting tu na mengine.hesabu ni kama unit ndogo tu ambayo hata mimi nilisoma bam chuo hesabu haikunisumbua kabisa,na egm wote kawaida tu.A Za hesabu.labda kama kozi za sayansi huko na it
 
Naombeni ushauri wenu,juu ya hii combination ya ECA,ikoje huko mbele,mi nimemaliza kidato cha 4 na ndio ninategemea kwenda kusoma

ECA fani zake ni kama b.com,accounts,etc mimi nakushauri soma EGM inauwanja mpanaa sanaa unaweza kusoma mambo ya,Geology architecture,engineerin especialy water resources and irrigation engineering(SUA),B.COM(Zote),BBA n.k wakati mtu wa ECA anauwanja mdogo sanaa hawezi kusoma engineering especially water resources and irrigation,architecture,geology,
 
Naombeni ushauri wenu,juu ya hii combination ya ECA,ikoje huko mbele,mi nimemaliza kidato cha 4 na ndio ninategemea kwenda kusoma

ECA fani zake ni kama b.com,accounts,etc mimi nakushauri soma EGM inauwanja mpanaa sanaa unaweza kusoma mambo ya Quantity surveying,Geology architecture,engineerin especialy water resources and irrigation engineering(SUA),B.COM(Zote),BBA n.k wakati mtu wa ECA anauwanja mdogo sanaa hawezi kusoma engineering especially water resources and irrigation,architecture,geology,
 
labda tu utupe mfano wa application za hesabu na cpa ndugu kama huna msingi mzuri wa accounts hata ukisoma mmm (mathematics,mathematics na maths) kama ingekuwepo hiyo comb kama hujui accounts cpa utaisikia tu kule ni kuelewa tu logic na mitego ya swali. Financial repoting, international business, taxation, - module e ...ma,auditing module f hazina uhusiano wowote na hiyo egm hasa ukiangalia wanaotusua cpa wengi ni eca hakuna jipya kule ukisoma eca na accountancy chuo kufeli cpa ni uzembe wako walasio hesabu watu wamesoma hkl wakatusua cpa sembuse eca anayesoma angalau bam.

asee nashukuru ckuyajua haya
 
wewe kama una nia thabiti yakuwa auditor au mhasibu soma eca ila kama hujui unataka nini maishani mwako soma hizo nyingine ili uchague unachokitaka chuo. Kama hauna mawazo ya kubadili degree huko chuo soma eca ili uwe na msingi mzuri maana chuo vyuo vingine hawaingii deep tofauti na mnavyosoma alevel.

Ila kama hujui utasoma nn chuo soma hizo nyingine.maana eca haina uwanja mpana kwa cozi mbalimbali za chuo.

Uzuri wa eca hata ukisoma chuo sociogy au pspa ukaona hazikulipi ukataka ukachukue cpa unapata exemption ya kuanza module b kuna classmate wangu alifanya hivyo.

auditor ndo ktu napenda sana bas wacha nkakomae nayo.athante
 
ECA fani zake ni kama b.com,accounts,etc mimi nakushauri soma EGM inauwanja mpanaa sanaa unaweza kusoma mambo ya,Geology architecture,engineerin especialy water resources and irrigation engineering(SUA),B.COM(Zote),BBA n.k wakati mtu wa ECA anauwanja mdogo sanaa hawezi kusoma engineering especially water resources and irrigation,architecture,geology,

Sasa kama anataka kuwa Auditor Geology ya nn sasa. Kama anania ya kuwa mhasibu yann apoteze muda uko alafu akaanze kuhangaika chuo wakati angekuwa ECA chuo ingekuwa revision tu hata Lecture huingii lakini haohao wa EGM wanakufata uwafundishe.
 
we mwanafunzi usivimbe kichwa kwa kufaulu vizur 4m4. Mi nakushauri nenda EGM kuliko ECA, ukibugi hapo umekwisha kwan mi nilipochaguliwa advance hge, kuna marafiki zangu wengi walichaguliwa eca na walipata AAB ABB NA Bba lakini mwisho wa siku accounts ikaja kuwaangusha mbaya kwa kupata div. 2 chafu na wengi walipata div.3 wakaishia kwenda kusomea ualim ili wapate mkopo. Ila waliochukua egm, walipeta na kufaulu vzuri sana (1st na 2nd div)
 
Kwanza mkopo ukiwa na div 2 unapata pili uoga wako tu usichukulie kushindwa kwa rafiki zako ndo uprove failure ya combi tena EGM wengi wanaongoza kutoka na 3 kushinda ECA maana sio ngumu kiivyo na paper one ya Accountancy na ni topic zote za Olevel paper two ndo topic mpya na Commerce zote ni za olevel sema zimekuwa deep tu aha kutisha wenzio.

Hapohapo kuna walio enda na CD wakatoka na AA au AB so hao wenzio kuingia na AB na kutoka ES au F si ajabu.
 
we mwanafunzi usivimbe kichwa kwa kufaulu vizur 4m4. Mi nakushauri nenda egm kuliko eca, ukibugi hapo umekwisha kwan mi nilipochaguliwa advance hge, kuna marafiki zangu wengi walichaguliwa eca na walipata aab abb na bba lakini mwisho wa siku accounts ikaja kuwaangusha mbaya kwa kupata div. 2 chafu na wengi walipata div.3 wakaishia kwenda kusomea ualim ili wapate mkopo. Ila waliochukua egm, walipeta na kufaulu vzuri sana (1st na 2nd div)

mi chuo sitosoma accounts
 
Kijana wewe nani kakutuma kufuata ushaur humu ndani!!!!
Jiamin na uangalie wapi future yako ipo. Vinginevyo utaondoka na matangopor humu!
Kaachini na umuombe MUNGU AKUONGOZE na selection itavyotoka amin kuwa ndipo sehemu sahihi unapopaswa kwenda coz ulishajaza combination unayoiwania!!!
I'm done
 
we mwanafunzi usivimbe kichwa kwa kufaulu vizur 4m4. Mi nakushauri nenda EGM kuliko ECA, ukibugi hapo umekwisha kwan mi nilipochaguliwa advance hge, kuna marafiki zangu wengi walichaguliwa eca na walipata AAB ABB NA Bba lakini mwisho wa siku accounts ikaja kuwaangusha mbaya kwa kupata div. 2 chafu na wengi walipata div.3 wakaishia kwenda kusomea ualim ili wapate mkopo. Ila waliochukua egm, walipeta na kufaulu vzuri sana (1st na 2nd div)

EGM huwa mbna wanafeli tu wengi san.we unaangalia wachache.wenge eca wanafaulu sana tu mbna uoga tu
 
MATH NADHAN CNA MAPENZ NAYO SANA,THEN NIKISOMA eca NI VITU GANI MBELE NITAVIMISS?

then let this be your standing point!!

mkuu, hili swali lako ni zuri sana lakini inakua ni ngumu kukujibu maana kwanza sijajua nini hasa malengo yako katika maisha!! je ni biashara, science au nini!!! kwa mtu wa egm (hasa kama alisoma phy na chem olevo) anakua na uwanja mpana sana linapokuja swala la chuoni!! actuarial sciences, architecture, computer science ni mifano michache ambayo mtu wa egm anaweza soma lakini mtu wa eca hawezi!!! sasa kama wewe ni familia bora haina shida ila kama ni mtoto wa mkulima think twice!!! kabla hujaenda huko eca!!

my point is ...as far as ushasema huna mapenzi na maths, then go for ECA am sure it'll provide you a reasonable yield in the future!!! i did maths na nnaona kitu nnachopata na nnasema yote haya kutokana na experience!!! mkuu hakuna kitu cha mwimu maishani kama kufanya au kusoma kitu unachopenda tena toka moyoni!!! kila heri and you're welcome...
 
MALENGO YANGU NI BIASHARA,NA HOME MAISHA KAWAIDA TU,nashukuru mkuu
 
Back
Top Bottom