Nishaurini kuhusu kujitolea halmashauri

Nishaurini kuhusu kujitolea halmashauri

boufer

Member
Joined
May 9, 2014
Posts
59
Reaction score
47
Habarini wakuu,nimeomba nafasi ya kujitolea kwenye halmashauri,nashukuru Mungu nimepata nafasi ila nawaza kwa huu mfumo wa kila ajira kupitia utumishi,vipi kujitolea kunaweza kuwa na tija nje ya kupata uzoefu?maana kwa zamani ukijitolea halmashauri kuna viajira km utendaji unaweza kupata vipi kwa sasa km hadi utendaji unapitia utumishi kuna uwezekano wa kupata ajira yeyote kwa urahisi?NAWASILISHA
 
Jitolee kwa lengo la kupata uzoefu, ukisema uwaze khs kazi utaumiza kichwa sana.
 
Habarini wakuu,nimeomba nafasi ya kujitolea kwenye halmashauri,nashukuru Mungu nimepata nafasi ila nawaza kwa huu mfumo wa kila ajira kupitia utumishi,vipi kujitolea kunaweza kuwa na tija nje ya kupata uzoefu?maana kwa zamani ukijitolea halmashauri kuna viajira km utendaji unaweza kupata vipi kwa sasa km hadi utendaji unapitia utumishi kuna uwezekano wa kupata ajira yeyote kwa urahisi?NAWASILISHA
😊
 
Jitolee Kisha ukiitwa kwenye usahili utumishi uombe Mungu oral interview wakufanyie halmashauri unayojitolea at least unaweza tengeneza mazingira zaidi ya hapo hakuna utakachofaidika nacho zaidi ya kupata uzoefu wa kazi tu.
 
Hapo faida yake ni kupata uzoefu na kutengeneza connection ya watu tu. Ila ajira lazima uombe utumishi kupitia PSRS.
 
Utapata connection na watu wa kada yako na uzoefu.unajitolea idara gan?
 
Back
Top Bottom