Jitolee kwa lengo la kupata uzoefu, ukisema uwaze khs kazi utaumiza kichwa sana.Habarini wakuu,nimeomba nafasi ya kujitolea kwenye halmashauri,nashukuru Mungu nimepata nafasi ila nawaza kwa huu mfumo wa kila ajira kupitia utumishi,vipi kujitolea kunaweza kuwa na tija nje ya kupata uzoefu?maana kwa zamani ukijitolea halmashauri kuna viajira km utendaji unaweza kupata vipi kwa sasa km hadi utendaji unapitia utumishi kuna uwezekano wa kupata ajira yeyote kwa urahisi?NAWASILISHA
😊Habarini wakuu,nimeomba nafasi ya kujitolea kwenye halmashauri,nashukuru Mungu nimepata nafasi ila nawaza kwa huu mfumo wa kila ajira kupitia utumishi,vipi kujitolea kunaweza kuwa na tija nje ya kupata uzoefu?maana kwa zamani ukijitolea halmashauri kuna viajira km utendaji unaweza kupata vipi kwa sasa km hadi utendaji unapitia utumishi kuna uwezekano wa kupata ajira yeyote kwa urahisi?NAWASILISHA
Jitolee Kisha ukiitwa kwenye usahili utumishi uombe Mungu oral interview wakufanyie halmashauri unayojitolea at least unaweza tengeneza mazingira zaidi ya hapo hakuna utakachofaidika nacho zaidi ya kupata uzoefu wa kazi tu.Habarini wakuu,nimeomba nafasi ya kujitolea kwenye halmashauri,nashukuru Mungu nimepata nafasi ila nawaza kwa huu mfumo wa kila ajira kupitia utumishi,vipi kujitolea kunaweza kuwa na tija nje ya kupata uzoefu?maana kwa zamani ukijitolea halmashauri kuna viajira km utendaji unaweza kupata vipi kwa sasa km hadi utendaji unapitia utumishi kuna uwezekano wa kupata ajira yeyote kwa urahisi?NAWASILISHA