Nishaurini kuhusu mpenzi wangu, ana tatizo la kuwa na maji mengi ukeni

Nishaurini kuhusu mpenzi wangu, ana tatizo la kuwa na maji mengi ukeni

Kiukweli mimi hufurahia sana hali ya kufanya mapenzi na mwanamke au mdada mwenye maji mengi,tena nikiwa nasikia yanavyolia kadri ninavyoFANYA huwa genye zinaongezeka maradufu,mwanamke mwenye majimaji kidogo au mkavu kabisa huwa namwona kama ananipa adhabu pale ninapoMFANYA.We jamaa usimwache huyo dada mwoe kabisa.
 
Bila shaka mu wazima mukheri wa afya njema, imenilazimu niandike humu kuomba msaada wenu wa ushauri, sielewi ni nini kimenipata, nilikuwa na demu wangu ninaempenda sana, sababu mimi ndiyo niliyemtoa usichana wake, nimekutana naye kwa Muda wa miezi kadhaa ghafla yule dada akaanza kuwa na maji ukeni kitu ambacho sikifurahii, hadi nilishawahi leta mada humu jamvini mnishauri jinsi ya kuyapunguza kama si kuyaondoa kabisaa, pia nilisha mkataza kula ndizi na nyanya chungu coz nimpenzi wa hivo vitu.

Nikakaa miezi kadhaa bila kukutana naye kimwili coz nilisafiri kidogo baada ya miezi mnne nilipokutana nae nikakuta hali ni ile ile, kiukweli niliamua kumkwepa kimtindo japo sikumweleza direct, ila sasa juzi nimeona bandiko la rubii humu kuhusu wanawake kupiga nyeto, nikagundua huenda demu wangu nae ni muumini wa nyeto, coz kutokana na bandiko lile ni athari anazopata mwanamke ni pamoja uke kutoa maji wakati wa tendo, je anaweza kurudia hali yake ya kawaida kweli?

Bado namuhitaji nisaidieni tafadhali.
Kama ulisafiri muda kidogo kisha ukarudi na kukuta bado ana maji basi jua kuwa aligongwa mara kadhaa na njemba nyingine.
 
Huyo mwenye maji mengi ndiyo mzuri kwa sababu huwezi kupata michubuko wala yeye tena wana uzazi wa karibu ni kugusa tu kitu hicho.
Kuna tofauti kubwa kati ya maji na ute, itakuwa hujawahi kitana na ute! Maji hayafai, ute ndo mpango mzima.
 
Jaman mie napenda sana K yenye maji jamani,kweli watu tunatofautiana,me unaweza kuniulia hapo,duu kitu katerero maji pwaaa pwaaaa hadi raha,nipe namba ake nikusaidie kazi kijana
 
Kiukweli mimi hufurahia sana hali ya kufanya mapenzi na mwanamke au mdada mwenye maji mengi,tena nikiwa nasikia yanavyolia kadri ninavyoFANYA huwa genye zinaongezeka maradufu,mwanamke mwenye majimaji kidogo au mkavu kabisa huwa namwona kama ananipa adhabu pale ninapoMFANYA.We jamaa usimwache huyo dada mwoe kabisa.
Acha kusema uongo!!
 
Kila kukicha yanaongezeka??Au wew ndo punyeto imekuathiri??kitu kinasinyaa kila siku ziendepo??Punguza hiyo kitu
 
Uwe unazama chumvini kwanza ili utanyonye hayo maji but pia tumia condom coz hukausha maji ya ukeni
 
Huyo mdada ni mhaya...km sio anatumia vidonge vya majira, km sio ni naumbile. Ushauri aachane na ndizi za kupikwa lakini pia mwambie atumie vidonge vya Amoxyln muda mchache kabla ya...2×3 itasaidia. Pia wakati wa mzunguko wake wa hedhi hesabu siku akiingia tulia hadi siku ya 17 hutakutana na hayo lkn hasa kuanzia siku ya 20 na akikaribia kuingia tena.

Yote kwa yote Kama mume sio mzawa was Bk lazima usikitishwe na jambo hilo. Wanaume wa Bk wanapenda Sana hali hiyo ksbb wote wadada wako hivo.

Mwisho vumilia kijana. Oa.
 
Back
Top Bottom