Kama ulisafiri muda kidogo kisha ukarudi na kukuta bado ana maji basi jua kuwa aligongwa mara kadhaa na njemba nyingine.Bila shaka mu wazima mukheri wa afya njema, imenilazimu niandike humu kuomba msaada wenu wa ushauri, sielewi ni nini kimenipata, nilikuwa na demu wangu ninaempenda sana, sababu mimi ndiyo niliyemtoa usichana wake, nimekutana naye kwa Muda wa miezi kadhaa ghafla yule dada akaanza kuwa na maji ukeni kitu ambacho sikifurahii, hadi nilishawahi leta mada humu jamvini mnishauri jinsi ya kuyapunguza kama si kuyaondoa kabisaa, pia nilisha mkataza kula ndizi na nyanya chungu coz nimpenzi wa hivo vitu.
Nikakaa miezi kadhaa bila kukutana naye kimwili coz nilisafiri kidogo baada ya miezi mnne nilipokutana nae nikakuta hali ni ile ile, kiukweli niliamua kumkwepa kimtindo japo sikumweleza direct, ila sasa juzi nimeona bandiko la rubii humu kuhusu wanawake kupiga nyeto, nikagundua huenda demu wangu nae ni muumini wa nyeto, coz kutokana na bandiko lile ni athari anazopata mwanamke ni pamoja uke kutoa maji wakati wa tendo, je anaweza kurudia hali yake ya kawaida kweli?
Bado namuhitaji nisaidieni tafadhali.
Sio kweli!, #Nadhani watu wa Bukoba wanafahamu sana ni kwa nn hali hii huwa inajotekeza.Inaeza Kua ana fangas
Kuna tofauti kubwa kati ya maji na ute, itakuwa hujawahi kitana na ute! Maji hayafai, ute ndo mpango mzima.Huyo mwenye maji mengi ndiyo mzuri kwa sababu huwezi kupata michubuko wala yeye tena wana uzazi wa karibu ni kugusa tu kitu hicho.
Acha kusema uongo!!Kiukweli mimi hufurahia sana hali ya kufanya mapenzi na mwanamke au mdada mwenye maji mengi,tena nikiwa nasikia yanavyolia kadri ninavyoFANYA huwa genye zinaongezeka maradufu,mwanamke mwenye majimaji kidogo au mkavu kabisa huwa namwona kama ananipa adhabu pale ninapoMFANYA.We jamaa usimwache huyo dada mwoe kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuuhh kazi kweli kweli.
Rais Mstaafu alituasa "za kuambiwa changanya na zako".
Kuhusu hayo maji watafute wajuzi wa "katerero". Ukiijua vizuri hayo maji utataka yaongezeke.
Ohooooo!!!Chota na kikombe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nenda dawasco
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mpeleke Dodoma au dawasco watakuwa wanamlpa kla mwezi, kwan kigosi ameshanunua tank jipya?