Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Terrano si ndio hio hio pathfinder kwa marekani mkuu, anyway navyojua ni gari nzuri yenye nguvu ila inaleta presha sana kama mtumiaji ukiwa huna vyanzo vizuri vya mapato.Kuna ambazo zinauzika lakini generation ya pathfinder Terrano na X-trail kuna shida
Early 2007 tulikuwa na terrano wakati ziko kwenye peak apa kibongo bongo ila spear zake ndio ilikuwa mtihani mkubwa hasa suspension zake zilitutesa mno. Hii gari parts nyingi ni electronic controlled so ilikuwa na issues za kukausha battery at times ikikaa idle. Mashine yetu ilikuwa ni V6 r3m it was thirsty ile mbaya hivyo nategemea pia hilo toleo la pathfinder litakuwa na Engine ya V6 ikiwa na zaidi ya 3000cc, hivyo mtoa mada ajiandae na gharama za kutia wese mara kwa mara.
Uzuri ni kwamba gari hio gari inabembeleza mno ukiwa ndani, starehe yake haielezeki aisee...Ni nzuri sana kuiendesha na ina nafasi ya kutosha ndani.
Hivyo kwa mtoa mada jitathmini pumzi yako kwa hio pathfinder ikiwa ni maandalizi mazuri ya running and maintainance costs. Otherwise unaweza ukafanya tu choice nyengine mkuu klins