Nishaurini Mtanzania mwenzenu

Nishaurini Mtanzania mwenzenu

Black African

Member
Joined
Oct 17, 2011
Posts
24
Reaction score
3
Habari zenu wadau?matumaini yangu muwazima na mnaendelea na majukumu yenu ya kila cku kadri ya kila mmoja alivyojaaliwa.

Me ni ndugu yenu, Mtanzania mwenzenu nilimaliza kidato cha nne mwaka 2009 na kufanikiwa kupata cheti, tangu nimemaliza sijaweza kuyaweka vizuri maisha yangu kwa vile bado sijapata ajira iliyokuwa rasmi.

Kwa mwaka ujao nina wazo la kujiendeleza kielimu katika fani ya masuala ya social reserch.

Sasa ninachokiomba kwenu mawazo yenu ni kwamba kwa kiwango kidogo cha elimu nilichonacho je ipo taasisi au chuo cha kuweza kujiunga na kama kipo ni muda gani na gharama zake ziko vp?

Naomba munisaidie sana hili maana lengo langu ni kuitawala vizuri hiyo fani ili initanulie fursa nyingi za ajira ya kujitegemea.
 
Pole sana kaka!!! Nitajarb kupeleleza then tutajulishana.
 
weka wazi matokeo yako mkuu ili tujue tukushauri nini na taratibu za kujiunga na chuo. Ahsante!
 
Back
Top Bottom