MPIKUSASA
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 112
- 6
Hi! nakuja kwenu wanajamii ilikupata ushauri ambao kwa namna moja nyingine utakuwa utatuzi wa kile ninachohisi kuwa tatizo. Kwanza nilihisi ni kawaida sana na sasa naona kama tatizo, kwani mie mwenzenu nikiingia kwenye chumba cha siri tukianza game hadi nifike mara 10-12 kwa usiku1 hadi nahisi ni tatizo. je nifanyeje ili nipunguze safari hizi wakati mwili unakuwa unahitaji? Plz take it serios!