Vocal Fremitus
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 1,287
- 6,648
Kuna kabinti kamenielewa. Nilikutana nae njiani katika pita pita zangu nikadaka namba. Naweza sema kwenye vigezo vya mwanamke wa ndoto zangu ametimiza 6/10. Kwahyo wakati namtongoza lengo langu lilikua kutuliza ham zangu tu na kusepa. Ingawa awali sikumfahamisha hilo.
Mwanzoni nilimdanganya mambo mengi kuhusu maisha yangu. Na siku niliyoamua kumueleza uhalisia wangu hata hakushtuka. Alizidisha upendo wa hali ya juu. Nilimaliza chuo miaka kadhaa iliyopita kwa sasa najishughulisha na biashara ndogo ndogo pamoja na mishe za udalali kwahiyo maisha yanasonga ingawa kipato changu naunga unga sana. Yeye anajua mimi bado naishi kwetu ila kiukweli nimepanga (hili nimefanya siri kwa vile sipendi ajue ninapoishi). Kwahyo tukitaka privacy tunakutana lodge na mara nyingi hua analipa yeye kwa vile anajua siko stable kiuchumi.
Binti ananipenda mpaka namuonea huruma. Anafanya mishe zake za kushona, kashawapiga chini masela kibao kitaani kwao wanaomfukuzia. Kuna kijana alishanifata na kuniomba nimpotezee ili amuoe, tukafanya mchongo nikampiga chini binti. Bahati mbaya plan ikafeli na demu amegoma kuachika na mimi.
Anaishi na wazazi na sasa anataka apange chumba tuishi wote ktk getto lake hata kama sina kazi anadai atakua anasimamia kila kitu mpaka ntakaposimama vizuri kiuchumi. Lakini sina hisia nae aisee, hasa kila ninapomuona anavyojitahidi kuonyesha care kwangu ndio nazidi kuchukia. Nimeshamueleza kwa umri wake wa miaka 24 anatakiwa ampate mwanaume atakaempenda aolewe anagoma kabisa.
Mtihani kwakweli.