Nishaurini namna ya kutoka kwenye huu mtego

Nishaurini namna ya kutoka kwenye huu mtego

Wewe ni wakupigwa makofi, muache huyo binti utaispma namba na kaswende utaugua juu nakuombea kwa sir God hakyanani nya.u kabisa wewe
 
Kuna kabinti kamenielewa. Nilikutana nae njiani katika pita pita zangu nikadaka namba. Naweza sema kwenye vigezo vya mwanamke wa ndoto zangu ametimiza 6/10. Kwahyo wakati namtongoza lengo langu lilikua kutuliza ham zangu tu na
Kwa upande wangu naweza sema hiyo ni bahati usichezee wala usilalie mlango wazi ....kwa experience yangu ..nasema ivi kwasabu mwanamke ndo kiumbe Chenye upendo wa Dhati sisi wanaume hatujui kupenda trust me ... kuna washkaji wana tafta bahati kama hiyo na wana tumia garama kubwa kupata opportunity kama hiyo anzeni maisha punguza longo longo nyingi hata kama wew ni dalali ..... MUNGU atafungua njia za rizki mani .... angalia ucje ukajuta badaye
 
Ww ni kijana wa ovyo sana, ngoja ukutane na mapaka shume ya mjini utachakazwa upauke.

Nyie ndo mnafanya wanawake kama hawa wawe manunda wakiingia kwenye ndoa na mtu mwingine.

Acha kumuumiza huyo mrembo, unajitengenezea nuksi na malaana
 
Wewe umemdanganya na yeye kakudanganya. Huyo binti anamtoto mmoja, anakaa na Bibi yake Kibaha, na huyo binti haishi kwao, anakibanda chake. Fuatilia utaelewa ni nini ninamaanisha.
😂😂😂😂 dah!
 
Tayari, alinifumania, alilia sana na kuondoka. Baada ya siku tatu akarudi tena kuomba msamaha akitaka kujua wapi alipokosea mpaka nikacheat ili arekebishe! Dah
Aise mzeya mapumbu yako yalo rehani....soon tutakusoma hapa jf umechomwa visu
 
Sijui ni kwann inakua hivi, hawa tunaowapenda wanazingua zingua! Wanaotupenda ndio hivyo sio pisi kali
aisee umeandika strory of my life kwa ufupi sana

Yaani sielewagi universe inasema kitu gani wanawake naowataka sasa... wanazingua
0B7783A8-F58D-4BBB-8193-436166882AB9.jpeg


tusio wakubali sasa wanatusifia mpaka ambako hapatakiwi kusifika...🤦🏽‍♂️
57A5C3A3-6A5C-4B72-ADB0-6C7B46D10A79.jpeg
 
Utakuja kumkumbuka siku ukija kuoa slay queen mwenzako Emanuel ebue wa arsenal alinasa kwa slay queen mzungu akampiga tukio ikabidi arudi kwa mwanamke aliyemkataa kumuoa kabla hajatoka ili aokoe jahazi karma is real.
 
Kma Kafka 6/10 weka ndani mjomba utashangaa unapata Ajira michongo infunguka mihelaaa hiyooo[emoji23][emoji23](joke) but km apmbna na anjua kutafta hata elfu10 uyo ndo mwanmke kaka plus ankupend chukua jiko hilo[emoji120]

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Not a joke, nilikuwa na mdada wa hivyo simpendi kivile Ila ni mpole na mvumilivu akashika mimba hapo nikapata kazi na maisha yakasimama nimeamua kuoa,wanaume hatupelekwi na hisia ni akili Tu Mtu wangu...kuna wanawake maishani mwako wanakuja na bahati nzuri take it or not
 
“You can’t force or choose how to feel about someone but you can choose to do the right thing”

Kwahiyo kesi yako unaweza amua kufanya jambo ambalo unaona ni sahihi despite of your feelings...ila mimi kama mm ningeenda na feelings, sitaki baadae kukaa na kujutia kuwaza what would have been
 
Babu yangu alishaniambia usioe mwanamke unayempenda, Owa mwanamke anayekupenda ,utayafurahia maisha, kama huamini kauli hii mtafye huyo unayosema unahisia nae uwone balaaa lake,na kuwapoteza wanawake kama hao ,kuwapata maishani utalipa gharama kubwa na unaweza pia usimpate
 
Weeeh tembeza mwenge...ala!!! Kazi kama kazi, na mechi kama mechi...
Ndo maana kina mayele wakishakipiga stadium wanarudi home...hawalali stadium...wala stadium haijajengwa nyumbani kwao.
 
Back
Top Bottom