Nishaurini Ndugu zangu juu ya huyu mwanamke

Kwahiyo hutaki kuamini nasikitika kijana sikuhizi akisoma anakuwa mpumbavu sana sana namna hii
 
Endelea naye hadi akuue.
 
Uko serious kabisa huna la kufanya? mtu ashakuambia ana uwezo wa kuwa na wanaume hata kumi ni maisha yake, muachie maisha yake na wewe endelea na maisha yako mbona rahisi hiyo
 
Pengine wewe ni fala....maziwa waweza nunu dukani kuna haja gani ya kufuga ling'ombe???
KWA MSAADA
Tafuta mwanamke anayekupenda....usioe mwanamke unayempenda.
 
Mwanamke anaweza akawa na mahusiano na Me mwingine endapo...
1.HAKUPENDI.
2.HAPATI HUDUMA TOSHELEVU FROM YOU(Mostly sexual intercourse).
3.ANA TAMAA (Material things or yuko demonized)
Au vyote kwa pamoja.
 
Hizi lugha za watu ni mtihani..hebu cheki ati..... psycho the rapist 😉
 
Tafuta binti mdogo achana na huyo bibi,toka lini agemate wakaoana
 
HUyo inatakiwa usimpige miti kwa huruma..mzagamue haswa tia dole gumba kwenye njia ya upepo chochea kwa fujo tia ulimi sikio moja halafu sikio lingine ziba na kidole halafu non stop,,,,,kisha njoo hapa tupe mrejesho......hii mijitu ukiitia kiulaini ndio inaleta DHARAU...
 
Hivi mwanaume unatakiwa ule nini ili uwe mpumbavu na lofa kiasi hiki??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…