Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Toto pumbavu hasara kwa mama ake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀Imani nafsi inaniambia
Haukuwa fungu langu
Na sidhani kama nilikosea
Kuukabidhi moyo wangu.
Ulinidanganya mapenzi ni zuri basi
Panda twende safari
Bila kujua la kwako ni mwendo kasi
Ghafla ukanipa ajali.
Upweke umetawala nafsi
Mwenzako usiku silali
Ninahesabu mabati
Kisa wewe.
Sijutii moyo wangu
Kupenda nisipopendwa
Sirudii makosa yangu
Ujinga wakati wakwenda.
Kinachoniuma roho yangu ooh
Kuwapa neno wahenga
Maana si kwa posti zangu
Na kujinadi napendwa.
Nishapona, nishapona
Nishapona ila mazoea
Basi nenda umwambie.....
Harmonize huyo
Malaya mkubwa wwMuoe fasta
NakaziaKadiri siku zinavyozidi kwenda ndio hata wanaume wanazidi kupoteza mioyo ya chuma na kufanya maaumizi.
Huko mbeleni sijui kutakuja kuwepo kizazi gani, maana ulegevu umezidi sana.
Piga chini, tafuta mwingine.Mimi ni mwanaume wa miaka 27, nina mchumba tuliyedumu miaka 3 sasa kuanzia 2021 tulipomaliza chuo pamoja na mpaka sasa tunaishi pamoja...
Brother wake up, pray to God _ bado upo na muda.Mimi ni mwanaume wa miaka 27, nina mchumba tuliyedumu miaka 3 sasa kuanzia 2021 tulipomaliza chuo pamoja na mpaka sasa tunaishi pamoja..
Jamaa hana hofu ya Mungu tuUkiwa na kazi na umesoma mpaka raha. Yani mwanaume unamfanya unavotaka mpaka anakuja jf kuomba ushauri mana wewe ni wife wa ndoto. Daah nimelia sana.
Moyo wangu umeniuma sana kugundua mwanamume mwenzangu unateseka namna hii toka humo kwenye hilo shimo mara moja kabla hujaathirikaMimi ni mwanaume wa miaka 27, nina mchumba tuliyedumu miaka 3 sasa kuanzia 2021 tulipomaliza chuo pamoja na mpaka sasa tunaishi pamoja
Nafanya kazi Kampuni ya mawasiliano na yeye anasoma masters huku akifanya kazi Bank moja hapa jijini. Wakati tunaanza mahusiano kila mmoja alikuwa wazi kuhusu historia yake ya mahusiano ambapo mimi hapo awali niliwahi kuwa na mpenzi mmoja tu ila yeye aliwahi kuwa nao watatu. Tulikubaliana kwa pamoja mwaka huu 2024 nikafanye utambulisho kwao then swala la mahari lifate
Mara nyingi nakuta message za mapenz kwny simu yake kutoka kwa wapenzi wanaume wa zamani ila alikuwa mwepesi kuomba msamaha na kukiri kuacha na anasema hana mpango nao ni mawasiliano tu. Lakini hakuacha tabia hii alifuta majina zikaonekana namba tu na yupo makini sn na sim yake hata bafuni alikuwa anaenda nayo.
Pamoja na hayo alichojibu baada ya kumtaka kumfahamu anawasiliana na nani ni hiki:
1. Huna haja ya kufaham marafiki zangu
2. Huyu nilianza nae mahusiano kabla yako
3. Nina uwezo wa kuwa hata na wanaume 10 ni maisha yangu.
Naumia sana wandugu sijui la kufanya, ameomba msamaha kuwa ni shetani tu kampitia. Nishaurini ndugu zangu nifanye nini
Hapo huna mke ndugu yangu atakusumbua sana mtalapofunga ndoa.nifanye
😀😀😀😀. Kwani si muachane tuMimi ni mwanaume wa miaka 27, nina mchumba tuliyedumu miaka 3 sasa kuanzia 2021 tulipomaliza chuo pamoja na mpaka sasa tunaishi pamoja
Nafanya kazi Kampuni ya mawasiliano na yeye anasoma masters huku akifanya kazi Bank moja hapa jijini. Wakati tunaanza mahusiano kila mmoja alikuwa wazi kuhusu historia yake ya mahusiano ambapo mimi hapo awali niliwahi kuwa na mpenzi mmoja tu ila yeye aliwahi kuwa nao watatu. Tulikubaliana kwa pamoja mwaka huu 2024 nikafanye utambulisho kwao then swala la mahari lifate
Mara nyingi nakuta message za mapenz kwny simu yake kutoka kwa wapenzi wanaume wa zamani ila alikuwa mwepesi kuomba msamaha na kukiri kuacha na anasema hana mpango nao ni mawasiliano tu. Lakini hakuacha tabia hii alifuta majina zikaonekana namba tu na yupo makini sn na sim yake hata bafuni alikuwa anaenda nayo.
Pamoja na hayo alichojibu baada ya kumtaka kumfahamu anawasiliana na nani ni hiki:
1. Huna haja ya kufaham marafiki zangu
2. Huyu nilianza nae mahusiano kabla yako
3. Nina uwezo wa kuwa hata na wanaume 10 ni maisha yangu.
Naumia sana wandugu sijui la kufanya, ameomba msamaha kuwa ni shetani tu kampitia. Nishaurini ndugu zangu nifanye nini
Hapa ndio ulikosea bob, swali la babe mimi ni mwanaume wako wa ngapi jibu lake huwa ni tatu daima, kama pai tu. Mpaka hapo upo kifungoni ukipenda jela oa huyo mwanamama.ila yeye aliwahi kuwa nao watatu
Piga chin sio dalili nzurMimi ni mwanaume wa miaka 27, nina mchumba tuliyedumu miaka 3 sasa kuanzia 2021 tulipomaliza chuo pamoja na mpaka sasa tunaishi pamoja