MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Unataka kumweka ndani Malaya, basi andaa na kaburi lako kama saba sita na jeneza/ sanduku. either ufe wewe kiafya au kifedha.
Aina hiyo ya wanawake ni watamu kitandani.
Waraghai mdomoni na waongo machoni.
Na hili ndio linalowakwamisha mabarubaru wengi sio wewe tu mkuu
Ushauri:Toa machozi ya mamba, anamtafuna ngiri huku akilia.
Mpigie chini, kama utataka kumtafuna ufanye kama hao wengine.