muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
.....Mapema hapa hapa tua mzigo aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀Muingize chaka aendelee kuto-mbewa akiwa kwenye ndoa.Muoe fasta
Mwenyewe hajaona kama ni tatizo😀😀😀Muingize chaka aendelee kuto-mbewa akiwa kwenye ndoa.
Mbona wapo wengi tu Mkuu kwa sasa walio force kingi, utasikia cha muhimu ananitunzia wanangu [emoji23], na ndo na vinguvu vya kiume vipungue kidogo huko ndoani yan unakula mke wa mtu hadi nje ya getini kwao.[emoji3][emoji3]Muingize chaka aendelee kuto-mbewa akiwa kwenye ndoa.
Sahihi mkuu.Mbona wapo wengi tu Mkuu kwa sasa walio force kingi, utasikia cha muhimu ananitunzia wanangu [emoji23], na ndo na vinguvu vya kiume vipungue kidogo huko ndoani yan unakula mke wa mtu hadi nje ya getini kwao.
Chanzo kikubwa ya ndoa za namna hizo ni KUOA mwanamke ambaye toka mwanzo alionesha kukumudu na ww ukaonesha uking'ang'anizi ya kwamba unampenda sana[emoji2957]
ushauri wako wa kibabe sana nimeukubaliNilipokuwa na umri wa miaka 27 sikuwa hata na muda wa wanawake ,,
Dgo ukifikisha age ya 32 to above utakuwa mwanaume kamili Sasa,,kudeal na wanawake
Kwa Sasa hakikisha unapata kiwanja ujenge nyumba ,kuza biashara/ kilimo,,saidia ndugu zako hata kidgo ,,
appreciateAnakumudu, hilo ndio huwa jibu langu. EPUKA MWANAMKE ANAEKUMUDU, Hakikisha unammudu wewe. Hiyo simu inafanya ujinga huo bado unaichekea, bado unamchekea oneshwa kukereka kama kukasirika kwako na reaction yako kwake ndio itakuwa mwisho basi ipo siku huko atakapoenda atakumbuka aliwah kuwa na mwanamme imara.
Na mm nitie neno, Usithubutu kuoa huyo mwanamke, ukifosi kwa ajili ya hicho ki kazi chake na hiyo masters kuna siku utarudi hapa jukwaani unalia mikono kichwani.ushauri wako wa kibabe sana nimeukubali
kumuuliza niko namba ngapi uko ni kujitia kitanziUshauri wangu muulize katika hao wanaume 10 anaoweza kuwa nao wewe utashika namba ngapi?
Kama upo top 5 basi kaa kwa kutulia.
Kuhusu simu kwenda nayo bafuni anaenda kuisafisha kama yako unaicha chafu pole sana.
Hitimisho
Kuna vitu sio vya kuomba ushauri, labda useme tu umekuja kutoa la moyoni [emoji23]
Kwani unasubiri nini mkuuMimi ni mwanaume wa miaka 27, nina mchumba tuliyedumu miaka 3 sasa kuanzia 2021 tulipomaliza chuo pamoja na mpaka sasa tunaishi pamoja
Nafanya kazi Kampuni ya mawasiliano na yeye anasoma masters huku akifanya kazi Bank moja hapa jijini. Wakati tunaanza mahusiano kila mmoja alikuwa wazi kuhusu historia yake ya mahusiano ambapo mimi hapo awali niliwahi kuwa na mpenzi mmoja tu ila yeye aliwahi kuwa nao watatu. Tulikubaliana kwa pamoja mwaka huu 2024 nikafanye utambulisho kwao then swala la mahari lifate
Mara nyingi nakuta message za mapenz kwny simu yake kutoka kwa wapenzi wanaume wa zamani ila alikuwa mwepesi kuomba msamaha na kukiri kuacha na anasema hana mpango nao ni mawasiliano tu. Lakini hakuacha tabia hii alifuta majina zikaonekana namba tu na yupo makini sn na sim yake hata bafuni alikuwa anaenda nayo.
Pamoja na hayo alichojibu baada ya kumtaka kumfahamu anawasiliana na nani ni hiki:
1. Huna haja ya kufaham marafiki zangu
2. Huyu nilianza nae mahusiano kabla yako
3. Nina uwezo wa kuwa hata na wanaume 10 ni maisha yangu.
Naumia sana wandugu sijui la kufanya, ameomba msamaha kuwa ni shetani tu kampitia. Nishaurini ndugu zangu nifanye nini
huu ndo ukomavu wa akili sasaIla mzee pamoja na shauri zote zilizotolewa huko juu, mimi ushaur wangu ni mmoja tu, AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YAKWAKO. sikushauri kumwacha huyo mpenzi wako ila je kama ukimuacha leo then huyo utakayempata atakuwa na unafuu kuliko huyu? Katika dunia ya leo kupata mwanamke ambaye hana dosari kama hizo ni nadra sana. Chamsingi ni kukaa na mwenzio na kuangalia shida iko wapi namna ya kuitatua ili maisha yaendelee.
Dogo kakosa mambo ya msingi ya kufanya😆😂Wasalaam dronedrake @@intelligent businessman