Nishaurini Ndugu zangu juu ya huyu mwanamke

Nishaurini Ndugu zangu juu ya huyu mwanamke

[emoji3][emoji3]Muingize chaka aendelee kuto-mbewa akiwa kwenye ndoa.
Mbona wapo wengi tu Mkuu kwa sasa walio force kingi, utasikia cha muhimu ananitunzia wanangu [emoji23], na ndo na vinguvu vya kiume vipungue kidogo huko ndoani yan unakula mke wa mtu hadi nje ya getini kwao.

Chanzo kikubwa ya ndoa za namna hizo ni KUOA mwanamke ambaye toka mwanzo alionesha kukumudu na ww ukaonesha uking'ang'anizi ya kwamba unampenda sana[emoji2957]
 
Sahihi mkuu.
 
Nilipokuwa na umri wa miaka 27 sikuwa hata na muda wa wanawake ,,
Dgo ukifikisha age ya 32 to above utakuwa mwanaume kamili Sasa,,kudeal na wanawake
Kwa Sasa hakikisha unapata kiwanja ujenge nyumba ,kuza biashara/ kilimo,,saidia ndugu zako hata kidgo ,,
 
ushauri wako wa kibabe sana nimeukubali
 
Anakumudu, hilo ndio huwa jibu langu. EPUKA MWANAMKE ANAEKUMUDU, Hakikisha unammudu wewe. Hiyo simu inafanya ujinga huo bado unaichekea, bado unamchekea oneshwa kukereka kama kukasirika kwako na reaction yako kwake ndio itakuwa mwisho basi ipo siku huko atakapoenda atakumbuka aliwah kuwa na mwanamme imara.
appreciate
 
Ushauri wangu muulize katika hao wanaume 10 anaoweza kuwa nao wewe utashika namba ngapi?

Kama upo top 5 basi kaa kwa kutulia.

Kuhusu simu kwenda nayo bafuni anaenda kuisafisha kama yako unaicha chafu pole sana.

Hitimisho
Kuna vitu sio vya kuomba ushauri, labda useme tu umekuja kutoa la moyoni [emoji23]
kumuuliza niko namba ngapi uko ni kujitia kitanzi
 
Mimi ni mwanaume wa miaka 27, nina mchumba tuliyedumu miaka 3 sasa kuanzia 2021 tulipomaliza chuo pamoja na mpaka sasa tunaishi pamoja

Nafanya kazi Kampuni ya mawasiliano na yeye anasoma masters huku akifanya kazi Bank moja hapa jijini. Wakati tunaanza mahusiano kila mmoja alikuwa wazi kuhusu historia yake ya mahusiano ambapo mimi hapo awali niliwahi kuwa na mpenzi mmoja tu ila yeye aliwahi kuwa nao watatu. Tulikubaliana kwa pamoja mwaka huu 2024 nikafanye utambulisho kwao then swala la mahari lifate

Mara nyingi nakuta message za mapenz kwny simu yake kutoka kwa wapenzi wanaume wa zamani ila alikuwa mwepesi kuomba msamaha na kukiri kuacha na anasema hana mpango nao ni mawasiliano tu. Lakini hakuacha tabia hii alifuta majina zikaonekana namba tu na yupo makini sn na sim yake hata bafuni alikuwa anaenda nayo.

Pamoja na hayo alichojibu baada ya kumtaka kumfahamu anawasiliana na nani ni hiki:
1. Huna haja ya kufaham marafiki zangu
2. Huyu nilianza nae mahusiano kabla yako
3. Nina uwezo wa kuwa hata na wanaume 10 ni maisha yangu.

Naumia sana wandugu sijui la kufanya, ameomba msamaha kuwa ni shetani tu kampitia. Nishaurini ndugu zangu nifanye nini
Kwani unasubiri nini mkuu
 
Ila mzee pamoja na shauri zote zilizotolewa huko juu, mimi ushaur wangu ni mmoja tu, AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YAKWAKO. sikushauri kumwacha huyo mpenzi wako ila je kama ukimuacha leo then huyo utakayempata atakuwa na unafuu kuliko huyu? Katika dunia ya leo kupata mwanamke ambaye hana dosari kama hizo ni nadra sana. Chamsingi ni kukaa na mwenzio na kuangalia shida iko wapi namna ya kuitatua ili maisha yaendelee.
huu ndo ukomavu wa akili sasa
 
Brother unatumika kimbia mapema,siku ukiomba likizo mwambie umeacha kazi utakachokiona utakuja nishukuru
 
Kimbia hapo hakuna mke halafu miaka 27 unaoa nini subiri ufike 30 ukomae kiakili ndoa sio lelemama maana hayo maamuzi madogo yanakushinda ndani utayaweza weye
 
Back
Top Bottom