Mamzalendo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 1,670
- 558
Binafsi nlitaka nikuambie useme imetoka maana hyo bahati nasibu ya kujaribu umpate anaweza akakushtukia,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mchumba naye anapitia hizi maada hapa JF...................kwisha habari yako!
Mpigie simu fasta, Mwambie jana ulitoka kigamboni, na mwambie kuwa si anajua magufuli alisema kama huna nauli uogelee.
sasa wewe ulijaribu kuogelea bahati mbaya ukajigonga kwenye jiwe ndamu nyiingi ikatoka. Umeenda kupina umekuta mimba hakuna.
Akili ya kuambiwa changanya na yako
hii ni zaidi ya balaana mchumba naye anapitia hizi maada hapa jf...................kwisha habari yako!
dada cha msingi hapo cha kufanya ni kujifanya hata bado huamini kama una mimba jifanye unataka kwenda tena ukahakikishe kama unayo hiyo mimba ikiwezekana mchukue huyo boyfriend wako muende wote halafu mnaenda wote kupima na mkifika kule itaonekana hauna na yeye atashuhudia halafu unajifanya kumuuliza docta ni kwanin mbona nilipima juz juz tu nilionekana ninayo>?hii ni kwa kulinda penzi lako dada,,,,,mdau
Mpigie simu fasta, Mwambie jana ulitoka kigamboni, na mwambie kuwa si anajua magufuli alisema kama huna nauli uogelee.
sasa wewe ulijaribu kuogelea bahati mbaya ukajigonga kwenye jiwe ndamu nyiingi ikatoka. Umeenda kupina umekuta mimba hakuna.
Akili ya kuambiwa changanya na yako
Tatizo lenu msipodanganywa mnataka kudanganya nyie,mkidanganywa nyie hamdanganyi.
Mwambie ukweli fasta japokuwa umeishachelewa coz kaisha sambaza habari ikishindikana uchumba ukavunjika utakuwa umejifunza kuwa kuna wanaume wana malengo mazuri na nyie bila hata ya kusingizia mimba.
nahisi ndoa kuoa mbawa,lol!!kutaneni mtengeneze kiukweli au baada ya muda mwambie imetoka!sasa kama na yeye yupo humu jf sijui itakuwaje
Ningekuwa Mimi nisingemwambia kuwa ni utani. Ila ningejifunza kutorudia tena uzembe Kama huo..ningetafuta sababu kusema ujauzito umeharibika, ningeendelea na mambo ya Ndoa .. Siri ya uongo na utani ningeizika milele kwa kufanya agano la kuwa mkweli daima.
Hodi humu ndani! Salamu wote wana Jamii Forum. Nianaomba msaada jamani.
MM nina Boyfriend wangu tumedumu kwa mwaka mmoja, tunapendana sana, na anaonyesha jitihada za kuwa na mm kama mke na mume, ameshanitambulisha kwa Mama yake, Dada zake na Kaka zake ila kwa kutumia simu kwan kwao ni mbali na tunapofanyia kazi kwahiyo umbali umechangia kuto onana face to face. Mara nyingi ndugu zake hao huwa wananipigia simu tunawasaliana na mm pia huwa nawapigia simu.
Mpaka hapo Mama yake anaonyesha upendo mkubwa sana wa mimi kuendelea kuwa na kijana wao. Ndugu wakinipigia simu wanakuwa wanani sihi sana kutulia na kumpenda kijana wao kwa moyo wote. Na mimi ki ukweli ninampenda sana kijana wao.
Week mbili zilizopita tulikutana kimwili na huyu Boyfriend wangu ambaye kwa sasa ni Mchumba mtarajiwa.. Baada ya siku kama tatu nikataka kumpima kama kweli anaupendo wa dhati kwangu au ni mambo ya ujana tu, nikamwambia nahisi kama nimepata ujauzito, kijana wa watu akaonyesha kufurahishwa sana na kauli ile akaniomba niende kupima ili niwe na uhakika kwan tupo wilaya tofauti hatuonani mara kwa mara, nikamwambia sawa nitaenda kupima, kesho yake nikampa majibu kuwa ni kweli nimepima na ninaujauzito. NILIKUWA NAMTANIA. Akaniambia sasa upendo wake kwangu umeongezeka mara dufu kwani anaamini nitakuwa mke wake.
Akampigia mama yake simu akamueleza juu ya jambo hilo na mama yake akamwambia basi hakuna shida atawaeleza baba zake wadogo ili wajiandae waje kwetu kutoa posa na taratibu nyingine za uchumba zifanyike ili tuoane mapema iwezekanavyo. Nikapigiwa simu na Mama yake akaniambia hongera mwanangu nimepewa taarifa zote na Mchumba wako kwa hiyo naomba usiogope sisi tunashughulikia swala la kuja huko kwenu.. Nilishtuka sana kwan Mchumba alikuwa ajaniambia kama amemwambia mama yake.
Na mimi nikamsikiliza mama yake mpaka mwisho. Swali langu je nimwambie mchumba kuwa nilikuwa namtania sina ujauzito? Na je atanichukuliaje? Na je wanaweza kusitisha zoezi la kwenda kujitambulisha nyumbani? Na mama yake atanionaje mimi? Nisaidieni mawazo ndugu yenu ntaumbuka mimi.
NB. Nilimtania ili kujua atachukua hatua gani baada yakujua mm ni mjamzito.
Ushauri wenu ndio silaha ya kuokoa ndoa hii itarajiwayo. Na Mungu atawabariki.
nimecheka hadi peke yangu huku shambani.....mimba haina hata mwezi mmoja tayari kimeshakuwa na kufikia hatua ya kubanwa!!!?? hata zygote stage bado hakijamaliza!!!!
mpe ushauri mwingine huu haufai.....
dada ww mwite kijana aje au mtembelee wekend hii kama uko ktk siku zako za hatari mpe asali hadi achanganyikiwe
huna haja kusingizia imetoka maneno huumba huna haja kuendeleza uwongo
since family zote zimeshajua hilo basi kula asali mpate mtoto kwani akijua ulimdanganya hatakaa akuamini tena