Nishaurini nifanye nini?

Binafsi nlitaka nikuambie useme imetoka maana hyo bahati nasibu ya kujaribu umpate anaweza akakushtukia,
 
Mpigie simu fasta, Mwambie jana ulitoka kigamboni, na mwambie kuwa si anajua magufuli alisema kama huna nauli uogelee.
sasa wewe ulijaribu kuogelea bahati mbaya ukajigonga kwenye jiwe ndamu nyiingi ikatoka. Umeenda kupina umekuta mimba hakuna.

Akili ya kuambiwa changanya na yako
 


mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh!!!!!!!!!!111
sioni kitufe cha likes and thanks

jf never boring (the boss)
 
Tatizo lenu msipodanganywa mnataka kudanganya nyie,mkidanganywa nyie hamdanganyi.
Mwambie ukweli fasta japokuwa umeishachelewa coz kaisha sambaza habari ikishindikana uchumba ukavunjika utakuwa umejifunza kuwa kuna wanaume wana malengo mazuri na nyie bila hata ya kusingizia mimba.
 
nahisi ndoa kuoa mbawa,lol!!kutaneni mtengeneze kiukweli au baada ya muda mwambie imetoka!sasa kama na yeye yupo humu jf sijui itakuwaje
 
Ningekuwa Mimi nisingemwambia kuwa ni utani. Ila ningejifunza kutorudia tena uzembe Kama huo..ningetafuta sababu kusema ujauzito umeharibika, ningeendelea na mambo ya Ndoa .. Siri ya uongo na utani ningeizika milele kwa kufanya agano la kuwa mkweli daima.
 
Eeeeh jamani kweli hii nayo ni akili nyingine.. safi sana.. nashukuru kwa ushauri Mdau. God bless You.


 
haaaaaaaaaa.. jamani Annael... atagundua tu niuongo..


 
Asante Chriss kwa ushauri. Nitalifanyia kazi.

 
Hapo sasa nawasiwasi kweli kila akipiga simu nakuwa makini kweli nazani ati anaweza kuniuliza ... (kama naye ni Member)

nahisi ndoa kuoa mbawa,lol!!kutaneni mtengeneze kiukweli au baada ya muda mwambie imetoka!sasa kama na yeye yupo humu jf sijui itakuwaje
 
Kweli kabisa maana nachelea kusema kuwa ulikuwa utani je akiniacha kwa kukasirika na mm nampenda nitaumia sana jamani.


 

Minor issue, wewe acha wakimbizane, develope kuumwa tumbo kwa ghafla mwambie dactari akuandikie dawa ambayo inaweza kuwa chanzo cha kuharibu huo uja-uzito hewa. Sasa hapo uzubiri utaona nini watakuja kukupa pole au ndiyo umeachwa kwenye mataa. Akili zako bado za kitoto, wanawake wengine, mimba siyo kigezo cha kuolewa lazima ujue hilo.

Wenye tabia kama zako za kufikiri eti akisema ni mjamzito au kubeba ujauzito wa ukweli akijua eti atateka akili ya mwanaume mmtaishia kuzalia nyumbani.

Pole! JIPE MOYO.
 
dada ww mwite kijana aje au mtembelee wekend hii kama uko ktk siku zako za hatari mpe asali hadi achanganyikiwe
huna haja kusingizia imetoka maneno huumba huna haja kuendeleza uwongo
since family zote zimeshajua hilo basi kula asali mpate mtoto kwani akijua ulimdanganya hatakaa akuamini tena
 
Asante Collezione... na kweli mpendwa maana mama mkwe kila wakati anajitahid kunipigia cm ananisisitiza kula,
ananiambia mtu akiwa katika hali hii huwa anakosa hamu ya kula so nijitahidi kula hata matunda. Nitafanya juu chini niupate ujauzito hata kama ni baada ya miezi 2 nitarudi kuwapa majibu. Asante kwa ushauri.


whole thing itaonekana ni upuuzi na na wenyewe utaonekama mswahili. unaweza poteza imani kwa hao watu. Wanaweza wasikuambie wazi. But that thing will be in their mind forever.
Solution wewe mtafute jamaa mtengeneze mimba. Hamna cha zaidi ya hapo. Sacrifice kazi kwa kipindi hiki, bt kama uko serious na relation yako[/QUOTE]
 
jitahid upate mimba ndugu yangu, ikishindikana kushika lol.. singizia imetoka ss.
kumtel ikweli inawezekana ila trend ndefu jaman had mama mkwe uko nae awekwe sawa mmh unajiharibia mamie.
tenda io dhambi ukatubu tu.
 
nimecheka hadi peke yangu huku shambani.....mimba haina hata mwezi mmoja tayari kimeshakuwa na kufikia hatua ya kubanwa!!!?? hata zygote stage bado hakijamaliza!!!!

mpe ushauri mwingine huu haufai.....

huu ushauri unafaa sana,asubiri subiri ili aje adanganye hivo.
 
Thank you very much Lokissa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…