Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
kama uliweza kumdanganya imo wakati haimo fanya hivyo hivyo mwezi huu ukiwa kwenye joto tutafutane tuoteshe kitu....jamaa atalea hana shida....angalizo mbona wakwe wanashabikia sana isijekuwa wanajua mtoto wao alikuwa kimeo ndo kabahatisha imeingia kwako!!!
jitahid upate mimba ndugu yangu, ikishindikana kushika lol.. singizia imetoka ss.
kumtel ikweli inawezekana ila trend ndefu jaman had mama mkwe uko nae awekwe sawa mmh unajiharibia mamie.
tenda io dhambi ukatubu tu.
Nilitaman iwe hivyo ila sasa naona kama siku za kupata uwo ujauzito nao nitakuwa kazini kwan nipo mbali nae.
Ila ntajaribu kufanya hivyo kama nikipta ujauzito nitashukuru sana Mungu.
Don't b stupid, kama unataka kuachika do tht bt if u stil wanna kip tht man don't kwani ukimwambia imetoka utakua umeshajiwekea doa katika huo uhusiano bz kwa watu wengine mimba kutoka is nt a lito case as u think hata excuse iwe reasonable kiasi gani..Okay.... Itabidi niandae muda wa kuugua maana sina jinsi
Don't b stupid, kama unataka kuachika do tht bt if u stil wanna kip tht man don't kwani ukimwambia imetoka utakua umeshajiwekea doa katika huo uhusiano bz kwa watu wengine mimba kutoka is nt a lito case as u think hata excuse iwe reasonable kiasi gani..
Tumia bayolojia ya mwili wako kushika mimba ya kikweli.Hakuna njia nyingine ya kuendeleza mahusiano uliyoyajenga kwa kusema u mjamzito. Kuhusu umbali mwambie mchumba wako afanye juu chini aje kwako.Mpe tarehe zinazoangukia wiki moja au mbili baada ya hedhi yako.Mweleze jinsi unavyokumbuka kile kitendo cha mwanzo nk nk. Tafuta maneno matamu ya kumvuta aje huko ulko kwenye tarehe zinazooana na chemistry ya ovulation ya mwili wako. Bila shaka u mtaalam wa mambo haya. Mama mtu anajiandaa kupokea mjukuu, wifi zako wanataka mjomba wewe unataka kuwaambia eti unatania? TrueLove, hiyo mimba iingie haraka sana na Mungu akubariki.
Tatizo nyinyi mnaojita masistar du mnamatatizo mtu akikupenda haumtrust chakufanya awamu hii ya mzunguko wako kuanzia siku ya 10 hadi ya 18 baada ya hedhi fanya mapenzi yaani lala nahuyo mwanaume upate mimba ya ukweli
Here are your options. . .
1. Mimba imetoka. . . .
Tatizo ni kwamba i) kama anapenda sana watoto anaweza akasita kukuoa kwa hofu ya kwamba linaweza likawa tatizo la kudumu. ii) mkishindwa kupata watoto baadae na ikajulikana mmoja wenu hana uwezo wa kuzaa utakua na kesi ya kueleza mimba iliyotoka ilikua ya nani/ uliipata vipi kana una matatizo.
2.Tegesha upate.
Tatizo hapa ni kwamba i) unaweza usipate kwa muda huu. ii) by the time unapata muda unaweza ukawa uneshaenda 3-6 weeks. . . ukijifungua mapema itabidi ujieleze imekuwaje.
3. Mweleze ukweli.
Tatizo hapa ni kwamba i) huo unaweza ukawa ndio mwisho wa mahusiano yenu au mkaendelea ila akawa hakuamini sana. ii) uzuri. . . .anaweza akakuelewa, akakusamehe na akafikiria nini awaambie ndugu zake bila kuhusisha usanii wako.
how could be true love if your lier????
kwanza inaonyesha huna mapenzi ya kweli kwa mwenzako na uko kwa sababu unaamini anahitaji mwenza wa maisha , na umeamua kutumia hali ya ujauzito kupima uhalisia na sasa umekuja uhalisia wakati wewe hauko kwenye uhalisi na kwa vile hauko kwenye uhalisi itakulazimu ulipe ghalama ya uhalisi ili ipatikane halisia...
uko mbioni kuachwa kwa vile njia uliyotumia ya kutaka ndoa ni uongo , jiulize ni mara ngapi utaendelea kumdanganya???
.....BPM....Nazani hujaelewa dhamira ya hayo yote Mdau... :lol: