wanajamii habarini za muda huu na poleni sana kwa majukumu ya kimaisha......napenda kuwauliza ni zao gani ambalo linaweza kustahimili kwenye ardhi ya mchanga hasa kwa kipindi hiki ambacho kwa hapa dar-es-salam kuna mvua za hapa na pale.
nitashukuru kwa majibu yenu pia nawatakia kazi njema na mungu awape afya tele na maisha mrefu mzidi kusaidia jamii yetu
Ahsanteni sana
YASER.
unataka kulima hapa dar?....maeneo gani labda.......otherwise sidhani kama hapa dsm ni sehem sahihi ya kulima zao la maana
soko litakuja tuni eneo la ukubwa gani na kwanza umejiandaaje nikimaanisha kihuduma na pia kimasoko unao muda wa kusimamia hayo yote?