Mkuu changamka, chanjo haina shida. Kikubwa angalia nchi unayotaka kwenda wamepitisha chanjo gani. Kwa mimi nakushauri komaa na Norway, maana ulaya ni ulaya tu na africa ni shida tu.Habari ndugu zangu.
nisi wachoshe niende kwenye maada,
Nina SCHOLARSHIP TATU.
1. Oslo university NORWAY
2. Kenyatta univesity, Nairobi KENYA
3. Maseno university, Kisumu KENYA.
kusoma degree ya pili.
SASA NAOGOPA NASIKIA MIPAKANI AU KUSAFIRI NI LAZIMA UCHANJWE AU UWE NA CERTIFICATE YA CORONA.
nawaza mno nakosa majibu, muda unazidi kwenda na vyuo vimeanza, na tayari nilipata Online ORIENTATION,
NISHAURINI WAKUU, NI MTUMISHI NA MWAJIRIWA SERIKALINI.
[emoji120][emoji120][emoji120]
View attachment 1926728
Basi nenda uchanje upate elimu.Elimu
Nilikua naweza hiviTafta nesi mpe 100k akujazie form kama umechanjwa upate cheti uendelee kufanya shughuli zako.
Tanzania kila kitu kinaweza. Kuna jamaa kakushauri hapo juu.Ni sawa mkuu ila moyo bado una goma goma mkuu
Acha uzito Chief! mshikishe mtu noti akufanyie wepesi wa hiyo certificate.Habari ndugu zangu.
Nisiwachoshe niende kwenye mada
Nina SCHOLARSHIP TATU.
1. Oslo university NORWAY
2. Kenyatta univesity, Nairobi KENYA
3. Maseno university, Kisumu KENYA.
Kusoma degree ya pili.
Sasa naogopa nasikia mipakani au kusafiri ni lazima uchanjwe au uwe na certificate ya Corona.
Nawaza mno nakosa majibu, muda unazidi kwenda na vyuo vimeanza, na tayari nilipata Online orientation.
Nishaurini wakuu, ni mtumishi na mwajiriwa serikalini.
[emoji120][emoji120][emoji120]
View attachment 1926728