#COVID19 Nishaurini wakuu chanjo yaniogopesha

#COVID19 Nishaurini wakuu chanjo yaniogopesha

Admin1988

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2017
Posts
1,603
Reaction score
1,848
Habari ndugu zangu.

Nisiwachoshe niende kwenye mada

Nina SCHOLARSHIP TATU.
1. Oslo university NORWAY
2. Kenyatta univesity, Nairobi KENYA
3. Maseno university, Kisumu KENYA.

Kusoma degree ya pili.

Sasa naogopa nasikia mipakani au kusafiri ni lazima uchanjwe au uwe na certificate ya Corona.

Nawaza mno nakosa majibu, muda unazidi kwenda na vyuo vimeanza, na tayari nilipata Online orientation.

Nishaurini wakuu, ni mtumishi na mwajiriwa serikalini.
[emoji120][emoji120][emoji120]
IMG-20210806-WA0053.jpg
 
Habari ndugu zangu.

nisi wachoshe niende kwenye maada,

Nina SCHOLARSHIP TATU.
1. Oslo university NORWAY
2. Kenyatta univesity, Nairobi KENYA
3. Maseno university, Kisumu KENYA.

kusoma degree ya pili.

SASA NAOGOPA NASIKIA MIPAKANI AU KUSAFIRI NI LAZIMA UCHANJWE AU UWE NA CERTIFICATE YA CORONA.

nawaza mno nakosa majibu, muda unazidi kwenda na vyuo vimeanza, na tayari nilipata Online ORIENTATION,

NISHAURINI WAKUU, NI MTUMISHI NA MWAJIRIWA SERIKALINI.
[emoji120][emoji120][emoji120]
View attachment 1926728
Mkuu changamka, chanjo haina shida. Kikubwa angalia nchi unayotaka kwenda wamepitisha chanjo gani. Kwa mimi nakushauri komaa na Norway, maana ulaya ni ulaya tu na africa ni shida tu.
 
Mkuu changamka, chanjo haina shida. Kikubwa angalia nchi unayotaka kwenda wamepitisha chanjo gani. Kwa mimi nakushauri komaa na Norway, maana ulaya ni ulaya tu na africa ni shida tu.
Asante, mkuu
 
Habari ndugu zangu.

Nisiwachoshe niende kwenye mada

Nina SCHOLARSHIP TATU.
1. Oslo university NORWAY
2. Kenyatta univesity, Nairobi KENYA
3. Maseno university, Kisumu KENYA.

Kusoma degree ya pili.

Sasa naogopa nasikia mipakani au kusafiri ni lazima uchanjwe au uwe na certificate ya Corona.

Nawaza mno nakosa majibu, muda unazidi kwenda na vyuo vimeanza, na tayari nilipata Online orientation.

Nishaurini wakuu, ni mtumishi na mwajiriwa serikalini.
[emoji120][emoji120][emoji120]
View attachment 1926728
Acha uzito Chief! mshikishe mtu noti akufanyie wepesi wa hiyo certificate.
 
Back
Top Bottom