aliekatakamba humutuu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 1,439
- 2,412
Na huyo mjomba wangu ni weweKuna mjomba wangu anapiga mishe za uwinga kariakoo sasa hivi anawateja wengi kidogo
tajiri yake ambae anachukua mizigo kwake alipoona dogo anawateja wengi kidogo na anapiga kazi vizuri akamshauri ampe duka kabisa liwe la kwao wawili wagawane pesa kwa asilimia 30 kwa 70
tajiri achukue 70 dogo achukue 30 kwenye faida itakayo patikana kila mwezi halafu kodi na gharama za ofisi kwenye ile asilimia 70 ya bosi ndio itagaramia
kuhusu kukaaa dukani dogo ndieambae atakaa kila siku tajiri atakuja siku za hesabu na kuagiza mizigo tu
mnamshauri nini hapo wakuu kwa uzoefu wenu?
sawa nishauri mkuuNa huyo mjomba wangu ni wewe
Mimi namshauri akubali, lakini waweke makubaliano kwa maandishi. Kwanza wafafanue vizuri maana ya faida, gharama na hesabu za kila mwezi. Pia wajue duka likiwa na hasara inakuwaje. Asisahau kuwa yeye ndiye atakayekaa dukani kila siku, hivyo hiyo 30% iwe na maana kulingana na mchango wake. π€Kuna mjomba wangu anapiga mishe za uwinga kariakoo sasa hivi anawateja wengi kidogo
tajiri yake ambae anachukua mizigo kwake alipoona dogo anawateja wengi kidogo na anapiga kazi vizuri akamshauri ampe duka kabisa liwe la kwao wawili wagawane pesa kwa asilimia 30 kwa 70
tajiri achukue 70 dogo achukue 30 kwenye faida itakayo patikana kila mwezi halafu kodi na gharama za ofisi kwenye ile asilimia 70 ya bosi ndio itagaramia
kuhusu kukaaa dukani dogo ndieambae atakaa kila siku tajiri atakuja siku za hesabu na kuagiza mizigo tu
mnamshauri nini hapo wakuu kwa uzoefu wenu?
Machaguo ni mawili. Kukubali au kukataa.sawa nishauri mkuu
Young man kama umeshindwa kujiweka tu kwenye huo uhusika unananza kutuzuga na habari ya mjomba wako,wewe ni lofa!!!Kuna mjomba wangu anapiga mishe za uwinga kariakoo sasa hivi anawateja wengi kidogo
Tajiri yake ambae anachukua mizigo kwake alipoona dogo anawateja wengi kidogo na anapiga kazi vizuri akamshauri ampe duka kabisa liwe la kwao wawili wagawane pesa kwa asilimia 30 kwa 70
Tajiri achukue 70 dogo achukue 30 kwenye faida itakayo patikana kila mwezi halafu kodi na gharama za ofisi kwenye ile asilimia 70 ya bosi ndio itagaramia
Kuhusu kukaaa dukani dogo ndieambae atakaa kila siku tajiri atakuja siku za hesabu na kuagiza mizigo tu
Mnamshauri nini hapo wakuu kwa uzoefu wenu?
Mimi ni engineer wa majengo mkuuYoung man kama umeshindwa kujiweka tu kwenye huo uhusika unananza kutuzuga na habari ya mjomba wako,wewe ni lofa!!!
Nikufundishe kitu next time usije ukaanza kuumiza kichwa kwa vitu vidogo vya kutumia akili badala ya hisia na tamaa.
ππNafsi yako tayari inajibu na hilo ndio jibu sahihi na mujarab!!!
Penda kusikiliza nafsi yako, never ever underestimate the power you have within!!!
Tuliza akili acha tamaa sikiliza sauti ya ndani ya nafsi yako.Utapoteza hata hicho kidogo ulichonacho.
KENGE WAHED,GADEMIT!!!
#YBWYB!
ndio shida ya jf hii haijawahi kumwamini mtuππKataa kwa wivu mkubwa mtego huo
Tunajua huyo mjomba wako ni wewe
asante kwa kumshauri mwananguMachaguo ni mawili. Kukubali au kukataa.
Ukikubali inamaana kuwa utakuwa muuza duka na sio winga tena.Hutokuwa huru tena.Ukishauza duka utahitaji winga mwengine.Uwezokano wa kuyumba kiuchumi upo .
Ukikataa...unaendelea kuwa winga hata kupata wateja zaidi. Unakuwa unajitegemea hata boss akikuzingua. Uwezekano wa kufungua duka lako ni mkubwa.
Nakushauri kataa.Boss wako anafikiria kukudhibiti ili usije ukawatumikia wengine.
Si ndiyo engineer wa manunuzi, A.K.A wingandio shida ya jf hii haijawahi kumwamini mtuππ
mimi ni engineer mwaka wa 8 huu acha kujiamulia mambo
dogo mimi sio mwenzio ni mtu mkubwa kwenye industry ya engineerSi ndiyo engineer wa manunuzi, A.K.A winga
Kikubwa fuata ushauri wangu usikubali huo mtego wa mwenye duka