Nisher Bybee: The Genius behind many hot Videos in Bongo

Nisher Bybee: The Genius behind many hot Videos in Bongo

Unlike other Tanzanians,I'll be honest with you people..
1.Nisher is overrated
3.The worst video stories,bora hata Kallaghe kila saa kuweka picha na bakuli la matunda
4.Something is really wrong with his video colour management,asipofanya ishine sana basi itakua giza sana.

Mwisho..seriously kuna watu wanamfananisha huyu na nguli Adam Juma? Mnaangalia video au mnahadithiwa
sijui anatumia software gani kuedit video,sometimes kama quality ya video inazidi mpaka inapitiliza,halafu anatengeneza video quality hiyo hiyo ukiona video lazima ujue katengeneza yeye
 
mbona naona lips za washkaji zinang'aa hivi?

kunani jamani?

attachment.php

He he heee kapaka shedooo umuoni na mapoz km sio dume
 
Sio siri huyu jamaa wakati anaanza nilikua namdoubt kidogo nikijaribu kulinganisha na watu ambao tayari walikua wameshajiestablish kwenye tasnia ya kutengeneza videos za wasanii kama vile kina AJ, kalaghe etc.

Ila uwezo aliounesha si kitoto, jamaa ameshafanya vichupa kama vile Sijutii- Joh Makini, Listen- Belle 9, Maktaba- Bonta, Jikubali- Ben Pol, Kijukuu- Young Dee, Nakomaa na jiji- Shilole na hiki kioo kipya cha Nje ya box cha weusi ambacho ni kikali pia.

Thumbs up kwa Nisher.


View attachment 141790View attachment 141791View attachment 141792View attachment 141793View attachment 141794

Khaaa!!Kumbe uyu ndio mtoto wa Yule nabii wenu pale Arusha??Kweli hatarii
 
Laana ya sadaka za waumini ila huyu dogo namjua toka wanaishi kisongo wakti kanisa la baba yake changa, nabii alikua n celica n pickup hilux mbovu chezea sadaka sasa hivi full kiyoyozi na walinzi
 
Yah!! Nisher... huyo jamaa c director wa video Bali photography... coz hana good scripts kwa vidio Sake... but anafanya fresh sana upande wa grading the colour of his videos.. kwa hilo big up kwake,
Lkn ile video ya shilole amevuruga... ninge kuwa mimi ninge shot kwenye migodi,feeds with tractors plus monster trucks,then ninge wa dress ma ovaroli na construction hats... then ninge weka cuts after 3 too 2 seconds....ili kuifanya shaky na un relaxabel..... but all in all 4 stars kwa nisher bybeee
 
Back
Top Bottom