sijui anatumia software gani kuedit video,sometimes kama quality ya video inazidi mpaka inapitiliza,halafu anatengeneza video quality hiyo hiyo ukiona video lazima ujue katengeneza yeyeUnlike other Tanzanians,I'll be honest with you people..
1.Nisher is overrated
3.The worst video stories,bora hata Kallaghe kila saa kuweka picha na bakuli la matunda
4.Something is really wrong with his video colour management,asipofanya ishine sana basi itakua giza sana.
Mwisho..seriously kuna watu wanamfananisha huyu na nguli Adam Juma? Mnaangalia video au mnahadithiwa
mbona naona lips za washkaji zinang'aa hivi?
kunani jamani?
Sio siri huyu jamaa wakati anaanza nilikua namdoubt kidogo nikijaribu kulinganisha na watu ambao tayari walikua wameshajiestablish kwenye tasnia ya kutengeneza videos za wasanii kama vile kina AJ, kalaghe etc.
Ila uwezo aliounesha si kitoto, jamaa ameshafanya vichupa kama vile Sijutii- Joh Makini, Listen- Belle 9, Maktaba- Bonta, Jikubali- Ben Pol, Kijukuu- Young Dee, Nakomaa na jiji- Shilole na hiki kioo kipya cha Nje ya box cha weusi ambacho ni kikali pia.
Thumbs up kwa Nisher.
View attachment 141790View attachment 141791View attachment 141792View attachment 141793View attachment 141794
Huyu si shoga kama shoga wengine tuu.