Nisher haijui sexual orientation yake?

Status
Not open for further replies.

mchepuko

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,192
Reaction score
1,415
Kwenye tease ya Mkasi, producer mkali bongo Nisher ameulizwa "Are you straight?" akabaki kujiumauma.... Kabla hajajibu swali hilo ikakatwa hiyo part ili kuleta uhondo Jumatatu ijayo...

Does that mean he is gay?
 
kwenye tease ya mkasi producer mkali bongo Nisher ameulizwa "are you straight?" akabaki kujiuma uma....kabla hajajibu swali ilo ikakatwa iyo part ili kuleta uhondo jumatatu ijayo...does that mean he is gay?
jamani lugha za watu hizi, sasa kama yeye hajui atajibu nini...?
au ina maana aliulizwa kuwa "vipi wewe ni chakula"...?
 
kwani hili neno "straight" linamaanisha nini?
au mimi nalielewa vibaya
 
kwa nini watu hivyo unconfident kuhusu maelekezo mbalimbali za ngono au utambulisho wa kijinsia? tafadhali kuheshimu kila binadamu, wao uko kama wewe. http://s01.jamiiforums.com/mini/ezoj/bg_FFFFFF/txt_DEDEDE/border_FFFFFF/flags_1.jpg
umenena vema dada.
 
Mpaka uulizwe hilo swali kunakuwa kuna doubts mahali!

Sidhani kama wanaume wote wanaoenda kwenye hicho kipindi wanaulizwa hilo swali.

Hivi unaanzaje kuniuliza eti mimi ni straight?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…