Nisher haijui sexual orientation yake?

Nisher haijui sexual orientation yake?

Status
Not open for further replies.
maswali yanachanganya sana kuna
straight yaani mapenzi ya jinsia tofaut
homosexuality yaani jinsia moja

bisexually jiinsia moja na pia jinsia tofauti
 
Last edited:
Si kuna demu kamtia mimba huyu jamaa anataka kumuowa leo ni shoga tena duu kina kadinda wanaongezeka
 
Unavyonijua mimi wa kuogopa kuwekwa kwenye hiyo list..??!! Peter atakuwa ameonyesha uchovu

Ndio nilitaka kushangaa, dume wewe na mijidevu yako mpaka kwenye makalio umuogope kidume mwenzio?
Nikasema ngoja nisubiri nione kama utaukimbia huu mpambano au lahh!!!
Kwanza mtu akikuweka kwenye ignore list ujue kakuogopa.....kidume cha kweli anapambana au sio @Ngalikihinja
 
Binamu umeona post za wolper insta? Naona kaamua kujipendekeza kwa zari kutwa ana repost post za zari ni shigidaa
 
Binamu umeona post za wolper insta? Naona kaamua kujipendekeza kwa zari kutwa ana repost post za zari ni shigidaa

Nimeona....na team wema ndo wanazidi kufurahi.

Hehehehehe.....nenda kwa baby_ake ukasome vichekesho.

Madolale hatimaye hadharani kukanusha kuwa gari halijaazimwa.

yeye ana lake na Madamerange ana lake, anasema siku wakutanishwe afu wote waje na range zao ndio wambea watakapoumbuka.

Watu wanachezea block huko...twafadhali binamu, afu kasome kichambo cha Vera ukirudi tuanze a, e, i, o na u kwanza.....watu wanatapika nyongo haifai na hivi bando la chuo wameongeza Mb, kazi ipo.
 
Nimeona....na team wema ndo wanazidi kufura.
Hehehehehe.....nenda kwa baby_ake ukasome vichekesho.
Madolale hatimaye hadharani kukanusha kuwa gari halijaazimwa.
yeye ana lake na Madamerange ana lake, anasema siku wakutanishwe afu wote waje na range zao ndio wambea watakapoumbuka.
Watu wanachezea block huko...twafadhali binamu, afu kasome kichambo cha Vera ukirudi tuanze a, e, i, o na u kwanza.....watu wanatapika nyongo haifai na hivi bando la chuo wameongeza Mb, kazi ipo.

Duh Vera sindika kafanya nini tena...Maana Yule dada namzimika balaa.
 
Duh!
Hatari Sana Yaani Nguvu Kazi Ya Taifa Imejipa Majukumu Yasiyo Yake. Analiwa! !!!
 
Kwenye tease ya Mkasi, producer mkali bongo Nisher ameulizwa "Are you straight?" akabaki kujiumauma.... Kabla hajajibu swali hilo ikakatwa hiyo part ili kuleta uhondo jumatatu ijayo...

Does that mean he is gay?
Usikurupuke, subiri kipindi kionyeshwe, vile vionjo vimekatwa makusudi kugrab attention .
 
Mtoto wa Nabii analiwa? Inanaana Nabii anashindwa kumtibu mwanae au ndio matendo ya mitume ya kivaticano
 
Asante ,im old enough ,naweza kumwangalia Madame B mwenyewe kwa ujasiri mpaka machozi yakanitoka ,

Unaweza ukaniangalia kwa ujasiri na usiweze hata kunigusa paja langu.
Umri ni namba tu broda, kama 1, 2 au 3
 
Peter umechoka... hivi ukiambiwa fulani ni GAY, unadhani analiwa au anakula..??? GAY analiwa bana

Gay ni mtu yeyote anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja. Hayo mambo ya analinawa au anakula mnajua wenyewe chumbani alimradi unatamani wanaume wenzio basi wewe sio STRAIGHT wewe ni GAY MAN. Na wanawake wanaotamani wanawake wenzao wanaitwa GAY LESBIAN
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom