Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa davtor wakuuliza binamu? Yule kaolewa kabisaaa mke wa mtu anakaa mbez beach, yeye na kundi lake wote wanawake
Unavyonijua mimi wa kuogopa kuwekwa kwenye hiyo list..??!! Peter atakuwa ameonyesha uchovu
Binamu umeona post za wolper insta? Naona kaamua kujipendekeza kwa zari kutwa ana repost post za zari ni shigidaa
Ndio nilitaka kushangaa, dume wewe na mijidevu yako mpaka kwenye makalio umuogope kidume mwenzio?
Nikasema ngoja nisubiri nione kama utaukimbia huu mpambano au lahh!!!
Kwanza mtu akikuweka kwenye ignore list ujue kakuogopa.....kidume cha kweli anapambana au sio @Ngalikihinja
Binamu umeona post za wolper insta? Naona kaamua kujipendekeza kwa zari kutwa ana repost post za zari ni shigidaa
Nimeona....na team wema ndo wanazidi kufura.
Hehehehehe.....nenda kwa baby_ake ukasome vichekesho.
Madolale hatimaye hadharani kukanusha kuwa gari halijaazimwa.
yeye ana lake na Madamerange ana lake, anasema siku wakutanishwe afu wote waje na range zao ndio wambea watakapoumbuka.
Watu wanachezea block huko...twafadhali binamu, afu kasome kichambo cha Vera ukirudi tuanze a, e, i, o na u kwanza.....watu wanatapika nyongo haifai na hivi bando la chuo wameongeza Mb, kazi ipo.
Usikurupuke, subiri kipindi kionyeshwe, vile vionjo vimekatwa makusudi kugrab attention .Kwenye tease ya Mkasi, producer mkali bongo Nisher ameulizwa "Are you straight?" akabaki kujiumauma.... Kabla hajajibu swali hilo ikakatwa hiyo part ili kuleta uhondo jumatatu ijayo...
Does that mean he is gay?
Duh Vera sindika kafanya nini tena...Maana Yule dada namzimika balaa.
Hivi vitoto vinapenda sana life la majuu..hawana hela..lazima wapakuliwe tu..na huyu dogo wanampakua haswa!!!Young dee atamfira nan? Anapakuliwa vzur
Basi niliwafanananisha. Mzima weye lakini?Hapana.....Jokate baba yake ni mwingine na si Geo David
Basi niliwafanananisha. Mzima weye lakini?
Asante ,im old enough ,naweza kumwangalia Madame B mwenyewe kwa ujasiri mpaka machozi yakanitoka ,
Peter umechoka... hivi ukiambiwa fulani ni GAY, unadhani analiwa au anakula..??? GAY analiwa bana