Nisher haijui sexual orientation yake?

Nisher haijui sexual orientation yake?

Status
Not open for further replies.
Yaani wabongo ni nyoko....maana huko kwa Ivan mpaka waganda wanaitana waone tashtiti za wabongo.

Afu shoga ako Mange vepe kwani?
Kuanikwa michupi yake yenye fangasi na udambwiudambwi vepeeee!
Ila jamani dahhhh, hapana kwa kweli, Watu wananyooshana.

Haya, bwana ako Chriss kumchezesha mwanae wimbo wa Daimond vipiiii?
Au nae katumwa?
Aaah kichwapanzi kajua kumvua nguo mange ha ha ha mange hana hamu mdomo wote kwisha
Chriss ndo nani tena
 
Aaah kichwapanzi kajua kumvua nguo mange ha ha ha mange hana hamu mdomo wote kwisha
Chriss ndo nani tena
Kichwa panzi wanashirikiana na Zenat kumvua nguo Mange.
Eti, kweli alimkataa mama yake Airport kisa alivaa kama house maid?
Jamani Mange mbona shughuli imempata....yaani kila anakojitetea, anaambukia deshiiiiii.
Ngoja lakini tuone mwishi wake
 
Kichwapanzi ameshaaga yupo likizo atarudi tena mange akianza mdomo, mange hana hamu nae

Account ya kwanza llifungwa, hii ya pili.
hivi duller squer ni nani maana hatare, au ni wewe bi shost?
 
Mnamuonea wifu au? mwili ni wake matamanio ni yake, kwani tatizo liko wapi kama analiwa? kwanini awe ana lala na ny*ge kila siku kisa eti asi upe haki mwili wake kwajinsi unavyo taka kwa sabab eti wewe una sema hana haki ya kufanya ?, gays hawajataka kua gays kama vile wewe usivyo chakua kua straight .
 
Kwamba r.i.p in advance, aandae jeneza ha ha ha watu bana eti mjane mdogo kuliko wote Tz
Kuna mmoja akaenda kwenye account ya Tekno akamuuliza, unamjua Kanumba?
wabongo sie jamani...ndio, mjane mdogo je....wala si uongo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom