Nisher haijui sexual orientation yake?

Status
Not open for further replies.
Aaah kichwapanzi kajua kumvua nguo mange ha ha ha mange hana hamu mdomo wote kwisha
Chriss ndo nani tena
 
Aaah kichwapanzi kajua kumvua nguo mange ha ha ha mange hana hamu mdomo wote kwisha
Chriss ndo nani tena
Kichwa panzi wanashirikiana na Zenat kumvua nguo Mange.
Eti, kweli alimkataa mama yake Airport kisa alivaa kama house maid?
Jamani Mange mbona shughuli imempata....yaani kila anakojitetea, anaambukia deshiiiiii.
Ngoja lakini tuone mwishi wake
 
mbwa kabisa huyo, binamu jana nilichambana na lulu insta kwenye account ya zamaradi,nilimnyeaje
Umbwa tena??? Sirudii wakuu inatosha watu wengine hatujui hizo makavu livr
 
Kichwapanzi ameshaaga yupo likizo atarudi tena mange akianza mdomo, mange hana hamu nae
Kichwa panzi wanashirikiana na Zenat kumvua nguo Mange.
Eti, kweli alimkataa mama yake Airport kisa alivaa kama house maid?
Jamani Mange mbona shughuli imempata....yaani kila anakojitetea, anaambukia deshiiiiii.
Ngoja lakini tuone mwishi wake
 
Kichwapanzi ameshaaga yupo likizo atarudi tena mange akianza mdomo, mange hana hamu nae
Account ya kwanza llifungwa, hii ya pili.
hivi duller squer ni nani maana hatare, au ni wewe bi shost?
 
Mnamuonea wifu au? mwili ni wake matamanio ni yake, kwani tatizo liko wapi kama analiwa? kwanini awe ana lala na ny*ge kila siku kisa eti asi upe haki mwili wake kwajinsi unavyo taka kwa sabab eti wewe una sema hana haki ya kufanya ?, gays hawajataka kua gays kama vile wewe usivyo chakua kua straight .
 
Kwamba r.i.p in advance, aandae jeneza ha ha ha watu bana eti mjane mdogo kuliko wote Tz
Kuna mmoja akaenda kwenye account ya Tekno akamuuliza, unamjua Kanumba?
wabongo sie jamani...ndio, mjane mdogo je....wala si uongo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…