Nisher haijui sexual orientation yake?

Status
Not open for further replies.
Wacha weeeeee kimende mende tu kula nnya
 
Range isharudi kwa mwenyewe,
Asa huyo Marley alivyokuja kujishaua kuwa range Wema hakuja kuazima au alikuwa anawashwa?
Range la mamilioni afu ashindwe kulipa bili?
Hebu atusogee sie.....wanampa kick....umekiona na kichambo cha Petiti?, kunusa ushuzi wa Wema?
 
Wacha weeeeee kimende mende tu kula nnya
Kwa raha zake kwanini ajitese kufanya vitu asivyo viweza? gays hawawezi sikia raha au kuweza fanya tendo la mapenzi na mtu asiyo jinsia yake, sasa je mtu huyo watamlazimishaje atafute mwanamke wakati akiwa na mwanamke hata amnyonye mfupa ,hapatwi na msisi mko wowote?
 
Haki kwa gays ni muhimu sana, itasaidia gays kujiheshimu na kuishi kimaadili zaidi, kuliko kwa sasa gays hawa tambuliki na wanaishia kuwa malaya , hawana uwzo wa kuwa na parteners waka isha nao bila kusakamwa
 
Are you straight?
 
Umejuaje kama hawasikii raha?
 
Asa huyo Marley alivyokuja kujishaua kuwa range Wema hakuja kuazima au alikuwa anawashwa?
Range la mamilioni afu ashindwe kulipa bili?
Hebu atusogee sie.....wanampa kick....umekiona na kichambo cha Petiti?, kunusa ushuzi wa Wema?
Nmeona tu petty anampa makavu esma et kivits sengerema kweli hilo dume, hawa wanaume wa kuokota mitandaoni ni shida
 
Evelyn Salt post: 15016226 said:
Mmmh huyo jamaa mbona kama Luis munana au wamefanana tu panki? @Madame B
Awali nilijua Rio, ila katika udadavuzi wangu nikagundua sie yeye.
Ni huko kwao kwenye laana hiyo
 
Nmeona tu petty anampa makavu esma et kivits sengerema kweli hilo dume, hawa wanaume wa kuokota mitandaoni ni shida

Hizi habari huwa nashindwa kuzielewa , huwa mna zipataje ni mfollow nani huko Instagram niwe naona hivi vichambo?
 
Nmeona tu petty anampa makavu esma et kivits sengerema kweli hilo dume, hawa wanaume wa kuokota mitandaoni ni shida
Ndo nimesikia jana, jamaa punda!!!
Eti....eti nyepesi nyepesi Dullar ndo kampeleka Mayanga kwa Kiumbe hai?
Nasikia Mayanga akitaka matumizi ya mtoto mpaka amuone huyo mfuta vumbi viatu vya Amina?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…