Nisher haijui sexual orientation yake?

Status
Not open for further replies.
Hata mimi ndio nimejua leo hiyo sentensi.........
 
Mic you mbea mwenzangu range ya madam vepew

Hahahhaaaaa...Binamuuuuu hujaachs u-fukunyuku?, kila kitu hadharwaaaaaani.
Mwenye range, mdogo wake kajitokeza kasema range ya kaka yake.....mjini sihami.

Wema aliiazima ili a- show off....na kujidai kumbeba mtoto wa mwenye range siku alipokwenda kudoea ugali kwa hao akina Marleymadolale sijui Marleyfamily.
Insta hakukaliki....kila mtu katiwa mwiba wa takoni.
....Tanga sirudi, nakomaa na jiji binamu.
 

Hasira za Wema kwa Diamond wakazihamishia kwa Rommy....kaka alichambwa siku ile sipati kukueleza binamu.
nasikia tetesi....Rommy kuanzia chupi mpaka nyembe ya kunyolea mavuzi ananunuliwa na Mond.
Kisa Mond kamwambia nae ajishughulishe....basi ndo ukawa mnuno, nunu mnunie mkweo.....jamani vepeeee wapenda mteremko?
 
Huyo mtu hata Baba yake anaonekana angongwa sana...

Huwa namuona channel ten nabaki kushangaa tuu!!
 
mwanangu hilo jina umelikamia sana naona, kuwa mstaarabu hata kidogo sio mpaka nibonyeze ignore list
Duh... ignore list haikusaidii... ni kukimbia challenge tu huko... na ukifanya hivyo yaani Peter utakuwa umechoka hoi kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…