Nisher haijui sexual orientation yake?

Nisher haijui sexual orientation yake?

Status
Not open for further replies.
Swadaktaaaaa......nafufua saccos yangu ya awali.
ila kama wameoa itabidi mitala itumike tu kinguvu
naona shoga ako wolper kaamua kuchafua hali ya hewa insta, kapost tena picha ya tiffah, watu wamepanikijee ila wolper alivyowachamba eti mtu atakayekuja na tusi jipya atamtumia vocha ya elfu 5
 
Wolper tatizo kaona anapoteza muda tu kuwa na bifu na Mond huku akiwashabikia akina team range.
Afu tatizo team Wema hawakubali ukweli....na Dai ngoja Wolper amkalie vibaya, utasikia kamsukumizia boro
 
amsukumiziea mara ngapi? wakat tayar washachokonoana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom