SoC04 Nishike mkono tuvuke salama

SoC04 Nishike mkono tuvuke salama

Tanzania Tuitakayo competition threads

Khairoonisai

New Member
Joined
Aug 26, 2022
Posts
4
Reaction score
2
Khairooni ni binti mwenye umri wa miak 27. Nimeamua kuwa mmoja wapo wa washiriki wa SHINDANO LA JAMII FORUMS. Kwanza kabisa napenda kumshukuru mwenyez mungu kwa kunipa afya na uhai pia kunijalia nafasi ya kushiriki shindano la "STORIES OF CHANGE" lililoandaliwa na jamii forums lenye lengo la kuwapa vijana na jamii kwa ujumla kuonesha maon yao ya tanzania ijayo. Lengo la kushiriki shindano hili ni kutowa mchango wang juu ya sekta ya afya amabyo yanawez kutumiak ndani ya miak 5 au 25 ijayo.

Nimekuja na msemo huu "NISHIKE MKONO SALAMA" nikiwa naamisha ya kuwa tanzania bila magonjwa yasiyo yakuambukiza inawezekan aunkuoungua kwa idadi ya vifo juu ya magonjwa hayo.

Kupitia wizara ya afya juu ya utafiti uliofanyika juu ya viashiria vya magonjwa yasiyoambukiza (STEPS SURVERY 2023) nanukuu kupitia tafiti zinasema magonjwa yasiyoyakuambukiza (NCDS) yanachangia takriban 33% Ya vifo vyote nchini huku takwimu za shirika la afya duniani (WHO) kwa mwaka 2020 zinaonesha kuwa magonjwa hayo yalichangia zaid vifo milion 41 saw na 71% ya vifo vyote duniani ukilinganisha na vifo milion 57 kwa mwaka 2016 duniani. Takwimu hizi zimetokan utafiti wa kitaifa wa viashiria vya magonjwa yasiyoambukiza (STEPS OF SURVEY 2023). Takwimu zinaonesha magonjwa haya yasiyoambukiza yanaongezeka mara 5 had 9 zaid. Kutoka na takwimu hizi za mwaka 2023 zinaonesha ni kwa kiasi gan jamii ya kitanzania kwa asilimia kubwa wanasumbulia na magonjwa hay yasiyoambukiza na kupelekea ongezeko kubwa la vifo vya nguvu kaz ya badaye.

KITU GANI KIFANYIKE KUKABILIANA NA JANGA HILI KWA JAMII NA TAIFA KWA UJUMLA
Kutokan na takwimu za wizara ya afya na kam nilivyozichambua kwa ufupo hapo juu unawez kugundua kuwa asilimia kubwa ya jamii inayotuzungukq inasumbuliwa na magonjwa hay ya kuambukiza na kutokuwa na uwelewa wa kutosha juu ya magonjwa haya jamii nyingi inachukulia magonjwa haya kwa dhan tofauti tofauti na kupelekea vifo vingi vinavyowez kuepukika na kupunguza kwa asilimia kadhaa katika jamii.

Kwanza kabisa serikali kupitia wizara ya afya inatakiwa kuja na kampen mbalimbali zenye lengo la kutoa elimu juu ya magonjwa hayo kuanzia ngaz ya chin kabisa nikiwa namaana kuanzia shule za msingi, sekondari pqmojq na vyuo vikuu na vya kati kw lengo la kumpa mtoto au kijan uwelewa toka akiwa mdogo na kufanya ajuwe jinsi ya kujiridha na kujali afya yake. Pia kupita wizara ya afya ndo chombo muhim na namba moja kwa masuala ya mazima ya afya katik nchi yetu basi ni lazima kam wizara kuja na mikakati itakayokuwa na nguvu na ustawi kwa jamii na kukaa mda mrefu bila kupotez mvuto mfano kupitia wizar ya afya na serikali kwa ujumla wanawez kuja na utaratibu wa kuja na majadilian mbalimbali juu ya masuala ya afya kuanzia ngazi ya kijiji,kitongoni,mtaa had wilay na mwisho mkoa kwa kuwapa fura wananchi kutoa mapendekexo yao na uwelewa wao juu ya magonjwa yasioambukiza na kuwapa ushaur nin wafanye kuwepuka nayo

Pili umuhimu wa kutumia vyombo vyetu vya habari kufikisha ujumbe kwa jamii kam vile mitqndao ya kijamii, vituo vya televishen ,na redio kwasababu kila kitu kipo kwenye teknolojia ambapo watu ujifunza vitu mbalimbali na kutoa maon yao pia.

Tatu serikali kupitia wizara ya afya inaweza kutumia wasanii wa miziki kufikisha ujumbe juu ya nyimbo zao zinazopendwa san na jamii na zinasikilizwa san. Kwa mfano leo hii serikali ikatumia wimbo mmoja tu wa msanii yoyote wa muziki anayetazamwa san akatunga wimbo kutokan na magonjwa yasioambukiza nina uwakika wimbo huo utaishi miak zaid 25 kwasababu watu watakuwa nao na watapata mda wa kuelewa na kuwek kumbukumbu pia serikali kwa kutumia makundi mbalimbali yenye ushawishi kwa jamii inapelekea hat mapokeo ya jamii kuwa na matokea mazur na yakuvutia.

Mwisho kabisa serikali kupitia wizara ya afya kuandaa sera rafiki mashulen kuanzia elimu ya msingi hadi vyuo vikuu kwa lugha rafiki kutoa elimu juu ya afya kwa ujumla jamii nyingi za kitanzania zipo nyuma san juu ya masuala ya afya kwa ujumla uwelewa bado ni mdog san kwenye magonjwa mbalimbali na kupelekea ongezeko kubwa la magonjwa yasioambukiza na yanayoambukiza katika jamii.

Nitowe shukuran zangu za dhati kwa jamii forum kwa kuweka kuweka shindano hili kwani linaletq hamasa kwa vijan kutupa uwezo wa kufikisha kile ulichonacho kwa jamii na kukutengenezea mahusian mazur na watu wengine. Asante na karibun san kusom maoni na mtazamo wangu naamin kwa namna moja au nyingine yapo yatakayokuwa chachu ya mabadiliko kwa miak 5 ya badaye hat zaid ya hapo. Ruksa kutoa maon na ushaur pia
 
Upvote 2
Back
Top Bottom