Nisipo do usingizi hauji, shida nini?

moses musa

Senior Member
Joined
Apr 25, 2017
Posts
164
Reaction score
97
Jamani Nina Mke huu mwaka wa tatu, tatizo nisipo safiri, nikiwa naye lazma nichape ndipo nilale, nisipo do usingizi hauji, muda muafaka na kikosa usingizi juu nisipo do shida nini?
 
Jamani Nina Mke huu mwaka wa tatu ,tatizo nisipo safiri ,nikiwa naye lazma nichape ndpo nilale,nisipo do usingizi hauji,muda muafaka na kikosa usingizi juu nisipo do shida nn?
Inaonekana kazi zako sio za kuchosa.
 
Special woman haendi hata likizo kila leo lazima udo...........................
 
Fanya mazoezi ya viungo mkuu
Kimbia, nenda gym, cheza mpira.
Ukifanya hivyo mwili utakua fresh na usingizi utapata, hiyo shida iliwahi kunikuta nikatatua kwa mazoezi maana kila day nilikua nataka ku-do nikagundua nikiwa na maisha ya style hiyo ntakua natengeneza tatizo maana sio siku zote mwenzangu atakuepo
 
Kafanye CT scan ya kichwa!!

Nakuhakikishia ubongo wako umehamia kichwa cha chini😀😀
 
Inaonekana bado mpya, utazoea tu mkuu speed itapungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…