Nisipo do usingizi hauji, shida nini?

Nisipo do usingizi hauji, shida nini?

Fanya mazoezi ya viungo mkuu
Kimbia, nenda gym, cheza mpira.
Ukifanya hivyo mwili utakua fresh na usingizi utapata, hiyo shida iliwahi kunikuta nikatatua kwa mazoezi maana kila day nilikua nataka ku-do nikagundua nikiwa na maisha ya style hiyo ntakua natengeneza tatizo maana sio siku zote mwenzangu atakuepo
Asante mkuu nitafanya hivo,siipend hii hali lkn INA nguvu nyingi za ushawishi hlf MkE akizoea hyo siku ukisafiri ataangaika ,xo naogopa maombi yenu jf mtalimbo uchukuage likizo sometimes[emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom