BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Wengine hata kama simba wanacheza wanataka hivyo hivyo....Huyo mke hasafiri kwenda mwezini kulipa kodi?
Mhh mkuu kwanza break inafanya kila mtu kuwa na hamu na mwenzakeWengine hata kama simba wanacheza wanataka hivyo hivyo....
Jivu tena[emoji87][emoji15] [emoji3] [emoji781] [emoji779] anaweka jivu
Unajiendekeza...Jamani Nina Mke huu mwaka wa tatu, tatizo nisipo safiri, nikiwa naye lazma nichape ndipo nilale, nisipo do usingizi hauji, muda muafaka na kikosa usingizi juu nisipo do shida nini?
Asante mkuu nitafanya hivo,siipend hii hali lkn INA nguvu nyingi za ushawishi hlf MkE akizoea hyo siku ukisafiri ataangaika ,xo naogopa maombi yenu jf mtalimbo uchukuage likizo sometimes[emoji3] [emoji3]Fanya mazoezi ya viungo mkuu
Kimbia, nenda gym, cheza mpira.
Ukifanya hivyo mwili utakua fresh na usingizi utapata, hiyo shida iliwahi kunikuta nikatatua kwa mazoezi maana kila day nilikua nataka ku-do nikagundua nikiwa na maisha ya style hiyo ntakua natengeneza tatizo maana sio siku zote mwenzangu atakuepo