Nisipo mtoboa mtoto wangu wa kike masikio kuna shida?

Pendaelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
11,050
Reaction score
31,412
Salam ndugu na jamaaa.

Naomba kujua Kama itamletea shida akikua huyu mtoto, sikusudii atobolewe masikia Kama ilivyo kawaida ya wanawake wa kwetu.

Labda anaweza kutulaumu huko mbeleni kwa vile hatukumfanyia hivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yellow subai, unataka kuzingua utamtoboaje mtu masikio haujui utakiuka haki za binadamu na unaweza pelekwa ICC ,subiri afike 18 years afanye decision mwenyewe😂😂
 
Katika vitu nashukuru ni kutobolewa masikio utotoni, katika pita pita zangu sijawahi kutana na mdada anayejuta kutobolewa sikio zaidi sana huona wanavyohaha kutoga sikio ukubwani na wengine hata huongeza kabisa idadi ya vitundu vya hereni..!!
 
Binti yangu alipozaliwa nilisema asitobolewe atatoboa mwenyewe.

Kabinti kamefanana sura na mimi mpaka dimpoz shape tu ndiyo kaifuata kwa mama yake.

Nikawa napata malalamiko kwamba watu wakimuona wasipotajiwa jinsi na akiwa kavaa pensi, kanyelamumo au suruali wanajua ni wa kiume.

Mi nikakaza tu na msimamo wangu.

Wakanizunguka nashangaa siku hiyo natumiwa picha binti katobolewa. Nikataka kuwapanikia lakini nikiangalia naona actually hizi hereni zinampa muonekano wa kidada.

So nikaacha hiyo ishu iwe. Mpaka leo binti katobolewa masikio.
 
Wewe huvai hereni?
 
Yote heri mkuu
 
Mimi pia ilikuwa hivyo hivyo sitaki atobolewe masikio mpaka akue, basi mama mtu na shangazi zake wakafanya kuitana kwa shangazi yangu huko kumbe ishu ilikuwa ni kumtoga sikio binti na walijua wakifanyia kwa shangazi siwezi kufanya lolote. Basi tena ilibidi ninue silver na gold kwa mtoto..
 
Ni vizuri Sana mtoto akitobolewa masikio akiwa Mdogo. Nilitoboa tundu la pili nikiwa chuo kikuu... Masikio yalichukua muda Sana kupona na kuja kuvaa hereni.
 
Binti yangu alipozaliwa nilisema asitobolewe atatoboa mwenyewe.

Kabinti kamefanana sura na mimi mpaka dimpoz shape tu ndiyo kaifuata kwa mama yake.

Nikawa napata malalamiko kwamba watu wakimuona wasipotajiwa jinsi na akiwa kavaa pensi, kanyelamumo au suruali wanajua ni wa kiume.

Mi nikakaza tu na msimamo wangu.

Wakanizunguka nashangaa siku hiyo natumiwa picha binti katobolewa. Nikataka kuwapanikia lakini nikiangalia naona actually hizi hereni zinampa muonekano wa kidada.

So nikaacha hiyo ishu iwe. Mpaka leo binti katobolewa masikio.
mkwe nisaidie namba yake huyo binti
 
Sio shida. Ila mimi sikutobolewa masikio mdogo nilisikitika Sana nilikuja kutoboa wakati nishamaliza sekondari.

Wa kwangu nilimtoboa ana miezi miwili tu.
 
Mimi pia ilikuwa hivyo hivyo sitaki atobolewe masikio mpaka akue, basi mama mtu na shangazi zake wakafanya kuitana kwa shangazi yangu huko kumbe ishu ilikuwa ni kumtoga sikio binti na walijua wakifanyia kwa shangazi siwezi kufanya lolote. Basi tena ilibidi ninue silver na gold kwa mtoto..
Kumbe wengi tumefanyiwa huu mchezo
 
Back
Top Bottom