Nisipo mtoboa mtoto wangu wa kike masikio kuna shida?

Misikutobolewa masikio..Mama Yangu hajatoboa Hadi leo anavaaga zakubandika. Ila nilitobolewa na mwiba na rafiki Yangu Annarose secondary.Annarose popote ulipo Dua njema Nakuombea.

Baada ya hapo nikaendelea kutoboa masiko saiv KILA sikio na matundu matano....

Natafuta mtu anitoboe Clitoris[emoji16][emoji16][emoji16]...natafuta mtoboaji jamani
 
Daaah! Wewe dada wewe!!
Labda hospitali kwa kweli Tena kwa operation maalumu.

Labda uwe utoboaji wa aina nyingine
 
Katika vitu nashukuru ni kutobolewa masikio utotoni, katika pita pita zangu sijawahi kutana na mdada anayejuta kutobolewa sikio zaidi sana huona wanavyohaha kutoga sikio ukubwani na wengine hata huongeza kabisa idadi ya vitundu vya hereni..!!
Huwa namlaumu sana mama kutonitoga sikio udogoni linanisumbua mpaka leo.
 
Ana miaka mingapi?Mtoto mdogo chini ya miaka saba ana kinga ndogo sana,ukimtoboa masikio unaweza kushangaa sikio zima linaoza!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Misikutobolewa masikio..Mama Yangu hajatoboa Hadi leo anavaaga zakubandika. Ila nilitobolewa na mwiba na rafiki Yangu Annarose secondary.Annarose popote ulipo Dua njema Nakuombea.

Baada ya hapo nikaendelea kutoboa masiko saiv KILA sikio na matundu matano....

Natafuta mtu anitoboe Clitoris[emoji16][emoji16][emoji16]...natafuta mtoboaji jamani
[emoji2954][emoji2954][emoji2954]
 
Kuna baadhi ya vitu ni vizuri kuwafanyia watoto wetu wakiwa bado wachanga/wadogo kwa maana kipindi hicho kitu maumivu wanakuwa bado hawakijui, miili yao haina mafuta na hata kinga za miili yao zinakuwa bado ziko vizuri, hali ambayo hupelekea kupona haraka na kutoyajua maumivu kuliko kuja kuwafanyia hivyo wakiwa wakubwa.

Kitu ambacho kitapelekea maumivu, kuchelewa kupona kwa kidonda na kupata maambukizi.

Kwa watoto wa kiume ni vizuri kuwatahiri mapema na watoto wa kike ni vizuri kuwatoga masikio mapema.
 
Misikutobolewa masikio..Mama Yangu hajatoboa Hadi leo anavaaga zakubandika. Ila nilitobolewa na mwiba na rafiki Yangu Annarose secondary.Annarose popote ulipo Dua njema Nakuombea.

Baada ya hapo nikaendelea kutoboa masiko saiv KILA sikio na matundu matano....

Natafuta mtu anitoboe Clitoris[emoji16][emoji16][emoji16]...natafuta mtoboaji jamani
Naoffer kukutoboa ndogo.
 
Sidhani hivyo. Lakini, ni bora kuifanya katika umri mdogo. Ikiwa binti yako hataki kwenda nayo, anaweza kuiacha hadi itoweke
 
Binti yangu alipozaliwa nilisema asitobolewe atatoboa mwenyewe.

Kabinti kamefanana sura na mimi mpaka dimpoz shape tu ndiyo kaifuata kwa mama yake.

Nikawa napata malalamiko kwamba watu wakimuona wasipotajiwa jinsi na akiwa kavaa pensi, kanyelamumo au suruali wanajua ni wa kiume.

Mi nikakaza tu na msimamo wangu.

Wakanizunguka nashangaa siku hiyo natumiwa picha binti katobolewa. Nikataka kuwapanikia lakini nikiangalia naona actually hizi hereni zinampa muonekano wa kidada.

So nikaacha hiyo ishu iwe. Mpaka leo binti katobolewa masikio.
😀😀😀 mkuu shepu tu kwa mama sio ?
 
Back
Top Bottom