Yellow subai, unataka kuzingua utamtoboaje mtu masikio haujui utakiuka haki za binadamu na unaweza pelekwa ICC ,subiri afike 18 years afanye decision mwenyeweππSalam ndugu na jamaaa.
Naomba kujua Kama itamletea shida akikua huyu mtoto, sikusudii atobolewe masikia Kama ilivyo kawaida ya wanawake wa kwetu.
Labda anaweza kutulaumu huko mbeleni kwa vile hatukumfanyia hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana ndugu, Ni maamuzi ya woteHiyo ni issue ya mkeo Ku deal nalo, naona ndani ya ndoa yenu hakuna demokrasia [emoji41][emoji41][emoji41]
Okey bossYellow subai, unataka kuzingua utamtoboaje mtu masikio haujui utakiuka haki za binadamu na unaweza pelekwa ICC ,subiri afike 18 years afanye decision mwenyewe[emoji23][emoji23]
Mh... Hapana anapotobolewa mapema ni vizuri zaidi maana linapona haraka zaidi!Ana miaka mingapi?Mtoto mdogo chini ya miaka saba ana kinga ndogo sana,ukimtoboa masikio unaweza kushangaa sikio zima linaoza!
Wewe huvai hereni?Katika vitu nashukuru ni kutobolewa masikio utotoni, katika pita pita zangu sijawahi kutana na mdada anayejuta kutobolewa sikio zaidi sana huona wanavyohaha kutoga sikio ukubwani na wengine hata huongeza kabisa idadi ya vitundu vya hereni..!!
Ninavaa na nimeelezea how thankful I am, hapo mwanzo kabisa..Wewe huvai hereni?
Yote heri mkuuBinti yangu alipozaliwa nilisema asitobolewe atatoboa mwenyewe.
Kabinti kamefanana sura na mimi mpaka dimpoz shape tu ndiyo kaifuata kwa mama yake.
Nikawa napata malalamiko kwamba watu wakimuona wasipotajiwa jinsi na akiwa kavaa pensi, kanyelamumo au suruali wanajua ni wa kiume.
Mi nikakaza tu na msimamo wangu.
Wakanizunguka nashangaa siku hiyo natumiwa picha binti katobolewa. Nikataka kuwapanikia lakini nikiangalia naona actually hizi hereni zinampa muonekano wa kidada.
So nikaacha hiyo ishu iwe. Mpaka leo binti katobolewa masikio.
Mimi pia ilikuwa hivyo hivyo sitaki atobolewe masikio mpaka akue, basi mama mtu na shangazi zake wakafanya kuitana kwa shangazi yangu huko kumbe ishu ilikuwa ni kumtoga sikio binti na walijua wakifanyia kwa shangazi siwezi kufanya lolote. Basi tena ilibidi ninue silver na gold kwa mtoto..Binti yangu alipozaliwa nilisema asitobolewe atatoboa mwenyewe.
Kabinti kamefanana sura na mimi mpaka dimpoz shape tu ndiyo kaifuata kwa mama yake.
Nikawa napata malalamiko kwamba watu wakimuona wasipotajiwa jinsi na akiwa kavaa pensi, kanyelamumo au suruali wanajua ni wa kiume.
Mi nikakaza tu na msimamo wangu.
Wakanizunguka nashangaa siku hiyo natumiwa picha binti katobolewa. Nikataka kuwapanikia lakini nikiangalia naona actually hizi hereni zinampa muonekano wa kidada.
So nikaacha hiyo ishu iwe. Mpaka leo binti katobolewa masikio.
Imebidi NichekeππππππHiyo ni issue ya mkeo Ku deal nalo, naona ndani ya ndoa yenu hakuna demokrasia πππ
Ni vizuri Sana mtoto akitobolewa masikio akiwa Mdogo. Nilitoboa tundu la pili nikiwa chuo kikuu... Masikio yalichukua muda Sana kupona na kuja kuvaa hereni.Mimi pia ilikuwa hivyo hivyo sitaki atobolewe masikio mpaka akue, basi mama mtu na shangazi zake wakafanya kuitana kwa shangazi yangu huko kumbe ishu ilikuwa ni kumtoga sikio binti na walijua wakifanyia kwa shangazi siwezi kufanya lolote. Basi tena ilibidi ninue silver na gold kwa mtoto..
mkwe nisaidie namba yake huyo bintiBinti yangu alipozaliwa nilisema asitobolewe atatoboa mwenyewe.
Kabinti kamefanana sura na mimi mpaka dimpoz shape tu ndiyo kaifuata kwa mama yake.
Nikawa napata malalamiko kwamba watu wakimuona wasipotajiwa jinsi na akiwa kavaa pensi, kanyelamumo au suruali wanajua ni wa kiume.
Mi nikakaza tu na msimamo wangu.
Wakanizunguka nashangaa siku hiyo natumiwa picha binti katobolewa. Nikataka kuwapanikia lakini nikiangalia naona actually hizi hereni zinampa muonekano wa kidada.
So nikaacha hiyo ishu iwe. Mpaka leo binti katobolewa masikio.
Kumbe wengi tumefanyiwa huu mchezoMimi pia ilikuwa hivyo hivyo sitaki atobolewe masikio mpaka akue, basi mama mtu na shangazi zake wakafanya kuitana kwa shangazi yangu huko kumbe ishu ilikuwa ni kumtoga sikio binti na walijua wakifanyia kwa shangazi siwezi kufanya lolote. Basi tena ilibidi ninue silver na gold kwa mtoto..
Toka hapamkwe nisaidie namba yake huyo binti