Nisipo mtoboa mtoto wangu wa kike masikio kuna shida?

Misikutobolewa masikio..Mama Yangu hajatoboa Hadi leo anavaaga zakubandika. Ila nilitobolewa na mwiba na rafiki Yangu Annarose secondary.Annarose popote ulipo Dua njema Nakuombea.

Baada ya hapo nikaendelea kutoboa masiko saiv KILA sikio na matundu matano....

Natafuta mtu anitoboe Clitoris[emoji16][emoji16][emoji16]...natafuta mtoboaji jamani
 
Daaah! Wewe dada wewe!!
Labda hospitali kwa kweli Tena kwa operation maalumu.

Labda uwe utoboaji wa aina nyingine
 
Katika vitu nashukuru ni kutobolewa masikio utotoni, katika pita pita zangu sijawahi kutana na mdada anayejuta kutobolewa sikio zaidi sana huona wanavyohaha kutoga sikio ukubwani na wengine hata huongeza kabisa idadi ya vitundu vya hereni..!!
Huwa namlaumu sana mama kutonitoga sikio udogoni linanisumbua mpaka leo.
 
Ana miaka mingapi?Mtoto mdogo chini ya miaka saba ana kinga ndogo sana,ukimtoboa masikio unaweza kushangaa sikio zima linaoza!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
[emoji2954][emoji2954][emoji2954]
 
Kuna baadhi ya vitu ni vizuri kuwafanyia watoto wetu wakiwa bado wachanga/wadogo kwa maana kipindi hicho kitu maumivu wanakuwa bado hawakijui, miili yao haina mafuta na hata kinga za miili yao zinakuwa bado ziko vizuri, hali ambayo hupelekea kupona haraka na kutoyajua maumivu kuliko kuja kuwafanyia hivyo wakiwa wakubwa.

Kitu ambacho kitapelekea maumivu, kuchelewa kupona kwa kidonda na kupata maambukizi.

Kwa watoto wa kiume ni vizuri kuwatahiri mapema na watoto wa kike ni vizuri kuwatoga masikio mapema.
 
Naoffer kukutoboa ndogo.
 
Sidhani hivyo. Lakini, ni bora kuifanya katika umri mdogo. Ikiwa binti yako hataki kwenda nayo, anaweza kuiacha hadi itoweke
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mkuu shepu tu kwa mama sio ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…