cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,448
- 7,972
Kwenye mahusiano lazima mnakuwa mnagombana na muda mwingine mnafurahia baada ugomvi kuisha
Jamani kwangu mimi, nikiwa kwenye mahusiano na mwanaume halafu tukaishi kwa muda mrefu na kama binadamu kuna sehemu huwa ninakosea lakini mpenzi hanigombezi au haniulizi makosa niliyofanya,huwa nahisi sipendwi
Mwanaume anapokuwa ananigombeza hadi najikuta nalia,najikuta nahisi kupendwa na mwanaume huyo,na huamini kuwa mwanaume huyo ananipenda
Asiponigombeza huwa nahisi kuna mwanamke mwingine anayempenda tofauti na mimi
Naombeni mnisaidie,ni kwangu tu au kuna wengine hali hiyo huwa inawatokea