Cutelove sorry niliwahi kufanya research kuhusu hii ishu lakin sikupata majibu haswa. Si ww ila wanawake wengi wako hivyo?Kwenye mahusiano lazima mnakuwa mnagombana na muda mwingine mnafurahia baada ugomvi kuisha
Jamani kwangu mimi, nikiwa kwenye mahusiano na mwanaume halafu tukaishi kwa muda mrefu na kama binadamu kuna sehemu huwa ninakosea lakini mpenzi hanigombezi au haniulizi makosa niliyofanya,huwa nahisi sipendwi
Mwanaume anapokuwa ananigombeza hadi najikuta nalia,najikuta nahisi kupendwa na mwanaume huyo,na huamini kuwa mwanaume huyo ananipenda
Asiponigombeza huwa nahisi kuna mwanamke mwingine anayempenda tofauti na mimi
Naombeni mnisaidie,ni kwangu tu au kuna wengine hali hiyo huwa inawatokea
Kumbe Mimi na wew tunaweza kuishi pamojaKumbe! Na mimi niko hivyo sasa
Hahaha ulivyouliza utafikili makofi ni afkeki flani hivi!?Makofi vipi,haupendelei?
Wengine huwa wapole sana hawawezagi kugombeza,vipi nao utasema hawakupendi??Kipigo hapana,unigombeze tu lakin usinipige,nitaaumia mwanzoni ila baadae nitahisi kunipenda,ndo ugonjwa wangu huo
Hahaha ulivyouliza utafikili makofi ni afkeki flani hivi!?Makofi vipi,haupendelei?
Kwenye mahusiano lazima mnakuwa mnagombana na muda mwingine mnafurahia baada ugomvi kuisha