Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Hehehehe ni kazi sana kumjua mwanamke anataka nini kuliko kumaliza kusoma vitabu vya philosophy hehehehe wuuiiiHapa ndo utaona kuwa wanaume tuna tabu sana kujua mwanamke anataka nini....You can see this girl anapenda kugombezwa ,yani hiyo ndo ishara kuwa anapendwa
Kivipi? huyo The list wala sijawahi kumsoma humu!Ila wewe mkaka huna tofauti na The List 🤣🤣🤣🤣
Mambo ya kubembelezana hayo kwa kosa lako sina kabishaMimi spendi kugombezwa lakini huwa inafika wakati natamani tukwaruzane tu kidogo yani nibembelezwe yani hata ninune bila sababu bebe anipakate anibembeleze aniambie maneno mataam ani kiss utam kabisa yani ni kama kudeka hivi kwa mr wangu. daah asikwambie mtu kupendwa raha jamani
Najua mnatumia akili ila kuna wengine huwa wanajibebisha mpaka inakuwa kero tenaMkuu usidhani tunafanyaga hayo mambo pasipo kutumia akili asee
Unatokea Tarime mzee mama?Kwenye mahusiano lazima mnakuwa mnagombana na muda mwingine mnafurahia baada ugomvi kuisha
Jamani kwangu mimi, nikiwa kwenye mahusiano na mwanaume halafu tukaishi kwa muda mrefu na kama binadamu kuna sehemu huwa ninakosea lakini mpenzi hanigombezi au haniulizi makosa niliyofanya,huwa nahisi sipendwi
Mwanaume anapokuwa ananigombeza hadi najikuta nalia,najikuta nahisi kupendwa na mwanaume huyo,na huamini kuwa mwanaume huyo ananipenda
Asiponigombeza huwa nahisi kuna mwanamke mwingine anayempenda tofauti na mimi
Naombeni mnisaidie,ni kwangu tu au kuna wengine hali hiyo huwa inawatokea
Na Mimi kuishi na mwanamke bila kumgombeza siskii raha kabisa[emoji4] [emoji4] [emoji4]Kipigo hapana,unigombeze tu lakin usinipige,nitaaumia mwanzoni ila baadae nitahisi kunipenda,ndo ugonjwa wangu huo
HahahhhahaahBasi wewe ungekuwa wa kwangu ungefaidi sana maana mimi kugomba ndio ugonjwa wangu..
Siwezi ruhusu hilo litokee wallahNajua mnatumia akili ila kuna wengine huwa wanajibebisha mpaka inakuwa kero tena
😹😹😹😹😹😹😹😹hatari hatariBasi wewe ungekuwa wa kwangu ungefaidi sana maana mimi kugomba ndio ugonjwa wangu..