Nisipogombezwa na mwanaume nahisi sipendwi

Duuh nimeptia comment na Siku zote nashindwa kumwelewa Mwanamke ni Binadamu wa namna gani ana mambo mengi,nikiwaonaga ni kama Mtoto anayehitaji malezi na uangalifu wa hali ya juu na nimejifunza kitu ni bora uwe mkweli kwa Mwanamke na sio siri hawajulikani huwa wanataka nn sio mavazi(wana mavazi aina nyingi hatari),,tabia zao,Mwenendo kiukweli Mwanamke ni kitabu usichokijua na Ndo Maana kuna Umuhimu ukiwa unataka kuoa Mungu awewa Kwanza kukuchagulia maana hali hiii sio kawaida
"Na Ishi na Mwanamke kwa akili"nimeamini Neno la Mungu lina maanisha,
 
Mwanaume kukugombeza inaonyesha anakupenda na hataki upotoke. Ni sawa na mzaz anapomkany mwanae sio kwamb anamchukia ila anamuepusha na mabaya ila ukanywe panapobid sio kila muda kugombezwa hata kit sio cha kugombezwa pia naw kama umekosea ukagombezwa fanyia kazi usirudie tena kosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…