Hamna kanuni hapo...hiyo ni kipimo tu chakujua kwamba mpo kwenye kivuli cha kupendana ila sio mapenzi...eti najisikia kugombezwa au najisikia kununa sikatai migogoro hapa na pale ila..heal yourself and let your partner heals...muone kama mtakuwa na mda wa drama za kijinga..hizo ni emotional wounds ambazo mtu anakuwa nazo kutokana na bad past experiences...maneno mazito haya kama sio level yako tafuta mtu mwenyewe uelewa hata chris mauki akusaidie kukueleweshaMapenzi hayana kanuni kama hizi wewe. Kinachofanya kazi kwako sio lazima kifanye kazi kwa mwingine.
Napenda kupigwa jamani..uwiiii
Haya jiniaz wa levo za juuHamna kanuni hapo...hiyo ni kipimo tu chakujua kwamba mpo kwenye kivuli cha kupendana ila sio mapenzi...eti najisikia kugombezwa au najisikia kununa sikatai migogoro hapa na pale ila..heal yourself and let your partner heals...muone kama mtakuwa na mda wa drama za kijinga..hizo ni emotional wounds ambazo mtu anakuwa nazo kutokana na bad past experiences...maneno mazito haya kama sio level yako tafuta mtu mwenyewe uelewa hata chris mauki akusaidie kukuelewesha
Kupigwa mitiii au???Napenda kupigwa jamani..uwiiii
Nitaongeza na mateke subirini mrejesho ndugu yangu lazima ataleta soonUsisahau na tukofi tuwili tutatu twa kunogesha mgombezano.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122]Mm pia napenda ona,mwanaume akinigombeza na ile kunitreat km kipenz chake.. ila c kunipiga.. mwanaume ni lazima uoneshe uanaume wako. Kibesi kiasi ukiona kuna shida mahali...[emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nitaongeza na mateke subirini mrejesho ndugu yangu lazima ataleta soon
Hakuna mtu anayejielewa akapenda kugombezwa,hata mtoto mdogo ukimgombeza basi hulia coz anajua hiyo sio njia sahihi ya kumfahamisha mtu au kumuelewesha mtu jambo alilolikosea,kufokewa kamwe haiwezi kua ndio kipimo cha mapenzi.Sipendi kugombezwa.
Kabisa. Watu wazima inabidi muelekezane kiutu uzima.Hakuna mtu anayejielewa akapenda kugombezwa,hata mtoto mdogo ukimgombeza basi hulia coz anajua hiyo sio njia sahihi ya kumfahamisha mtu au kumuelewesha mtu jambo alilolikosea,kufokewa kamwe haiwezi kua ndio kipimo cha mapenzi.
Mimi spendi kugombezwa lakini huwa inafika wakati natamani tukwaruzane tu kidogo yani nibembelezwe yani hata ninune bila sababu bebe anipakate anibembeleze aniambie maneno mataam ani kiss utam kabisa yani ni kama kudeka hivi kwa mr wangu. daah asikwambie mtu kupendwa raha jamani
Hahahaha we differ jamani mtusome na muishi na sisi kwa akiliMkuu umenikumbusha kuna mdada mmoja yeye tulikua tukigombana nisipo kula mzigo immediately... Itakua ugomvi week nzima.Yaani nilikua nikipandwa hasira nagomba anaongea wee alafu namshika nywele namvuta hadi chumbani nakula mzigo ile ya kukomoa style..cha ajabu akitoka hapo full shangwe....its like alikua anapenda kuchapwa Na muhogo....kitu ambacho kwangu ilikua ni sadistic style of kula mzigo....
Namshukuru Mungu aliolewa....