Nisipogombezwa na mwanaume nahisi sipendwi

Nisipogombezwa na mwanaume nahisi sipendwi

For my experience huwa nawachukulia wanawake kama wanafunzi coz hata kama huna mood ya kugombana nae atafanya kila viuja na vitimbi ili mwanaume ukasirike na kumgombeza na yy kufurahia kwa kile ulichofanya
 
Mapenzi hayana kanuni kama hizi wewe. Kinachofanya kazi kwako sio lazima kifanye kazi kwa mwingine.
Hamna kanuni hapo...hiyo ni kipimo tu chakujua kwamba mpo kwenye kivuli cha kupendana ila sio mapenzi...eti najisikia kugombezwa au najisikia kununa sikatai migogoro hapa na pale ila..heal yourself and let your partner heals...muone kama mtakuwa na mda wa drama za kijinga..hizo ni emotional wounds ambazo mtu anakuwa nazo kutokana na bad past experiences...maneno mazito haya kama sio level yako tafuta mtu mwenyewe uelewa hata chris mauki akusaidie kukuelewesha
 
Haya jiniaz wa levo za juu
 
mnapenda kugombezwa kwa kuwa mnajua mkilia mtabembelezwa na kupewa kitu roho inapenda.
Bila hivyo hakuna mwanamke ambaye angependa kugombezwa.
 
Sioni uchanya wa mawazo yako Cutelove sababu Upendo halisi haupimwi kama unavyofikiri.
 
Mm pia napenda ona,mwanaume akinigombeza na ile kunitreat km kipenz chake.. ila c kunipiga.. mwanaume ni lazima uoneshe uanaume wako. Kibesi kiasi ukiona kuna shida mahali...[emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122]
 
Kuna watu mnachanganya habari. Huyu mleta mada ni ile aina ya wanawake ambao wakati unamsema yeye anakuwa katulia kwa adabu, yaani Kama mwanao vile. Sio kwamba anapenda kurushiana maneno
Asant kwa kunielewa
 
Hakuna mtu anayejielewa akapenda kugombezwa,hata mtoto mdogo ukimgombeza basi hulia coz anajua hiyo sio njia sahihi ya kumfahamisha mtu au kumuelewesha mtu jambo alilolikosea,kufokewa kamwe haiwezi kua ndio kipimo cha mapenzi.
Kabisa. Watu wazima inabidi muelekezane kiutu uzima.
 
Niooo kwangu
Kisha nikugombeze sana
Kitakacho fuata nikupige hadi
Nikutie ukilema😒
 
Mkuu umenikumbusha kuna mdada mmoja yeye tulikua tukigombana nisipo kula mzigo immediately... Itakua ugomvi week nzima.Yaani nilikua nikipandwa hasira nagomba anaongea wee alafu namshika nywele namvuta hadi chumbani nakula mzigo ile ya kukomoa style..cha ajabu akitoka hapo full shangwe....its like alikua anapenda kuchapwa Na muhogo....kitu ambacho kwangu ilikua ni sadistic style of kula mzigo....

Namshukuru Mungu aliolewa....
Mimi spendi kugombezwa lakini huwa inafika wakati natamani tukwaruzane tu kidogo yani nibembelezwe yani hata ninune bila sababu bebe anipakate anibembeleze aniambie maneno mataam ani kiss utam kabisa yani ni kama kudeka hivi kwa mr wangu. daah asikwambie mtu kupendwa raha jamani
 
Mkuu umenikumbusha kuna mdada mmoja yeye tulikua tukigombana nisipo kula mzigo immediately... Itakua ugomvi week nzima.Yaani nilikua nikipandwa hasira nagomba anaongea wee alafu namshika nywele namvuta hadi chumbani nakula mzigo ile ya kukomoa style..cha ajabu akitoka hapo full shangwe....its like alikua anapenda kuchapwa Na muhogo....kitu ambacho kwangu ilikua ni sadistic style of kula mzigo....

Namshukuru Mungu aliolewa....
Hahahaha we differ jamani mtusome na muishi na sisi kwa akili
 
Back
Top Bottom